Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Bila picha uzi wako ni upotoshajii na uongooJambo hili limenihuzunisha Sana, Station ya SGR ya Magufuli DSM ni nzuri Sana, kuanzia nje Hadi ndani, kingo za Barbara zimejengewa pavement, na land Scape nzuri flani. Na hii pia inafanana na uwanja WA ndege wa Nyerere dark.
Sasa njoo hii station ya Samia Dodoma, ukishatoka nje ya fensi , ni vumbi, vifusi, takaraka, majani , ni kuchafu Sana. Huyo mkurugenzi anafanya nini ofisini, hata kama ni road reserve ya tanroad , tengenezeni landscaping nzuri kutoka kwenye lami mpaka unafika SGR ndani, wamama wanauza zabibu vumbi Kila sehemu, basi chukueni chenchi ya el nino mkarekebishe Mazingira, hata ndani ukiwa unatoka na gari ni vumbi Tu.
Sijapiga picha naogopa Kung'olewa meno yangu na pliers
Ubunifu ni kitu kuwa na muonekano wa kuvutia mkuuSasa hapo kuna ubunifu gani zaidi ya box lenye vioo with no character?
Nobody knows and acknowledges the likes of Peter Bakilana anymore.Morogoro kikwete 🙌
Akili Za MbayuwayuMorogoro kikwete 🙌
Sasa kuna ubunifu gani kwenye box na vioo?Ubunifu ni kitu kuwa na muonekano wa kuvutia mkuu
Duh umenikumbusha my friend Benjamin Bakilana sijui yuko wapi?Nobody knows and acknowledges the likes of Peter Bakilana anymore.
Watu wamefanya kazi miaka mingi, kwa uadilifu mkubwa, sio wao tu wamefanya kazi, wame mentor mpaka wengine wakafanya kazi kubwa.
Lakini utakaowasikia ni wanasiasa tu.
Wenzetu NASA wameweka bonge la telescope huko angani, 1.5 million km from earth. Kwenye Sun-Earth L2 Lagrange point.
It is so far that light, which traveld at about 299,792.458 km/s , takes 5 seconds to get there.
Hawakulipa telescooe jina la rais, hawakulipa jina la waziri, hawakulioa jina la mbunge, hawakulipa jina la mwanasiasa.
Wamelipa telescope jina la kiongozi wao wa zamani wa NASA. James Webb. Kwa kuenzi kazi aliyoifanya.
Sisi huku kina Peter Bakilana wamesahaulika hakuna anayewajua leo ukiondoka sisi tunaoyajua hayo mashirika na historia zake.
Kila kitu kinapewa majina ya wanasiasa.
Sawa mkuu umeshinda ,hivi ubunifu wa station ya Dodoma waliresemble nini vile? Ukame ,jangwa au vumbi?Sasa kuna ubunifu gani kwenye box na vioo?
Ila ule ubunifu ni mzuri, hauna tatizo ni excellent and unique, shida ni land Scape ya nje ktk reserve ya TANE RoadSawa mkuu umeshinda ,hivi ubunifu wa station ya Dodoma waliresemble nini vile? Ukame ,jangwa au vumbi?
Mkuu @BRONDO anasema landscape ya nje iko vizuri sanaaIla ule ubunifu ni mzuri, hauna tatizo ni excellent and unique, shida ni land Scape ya nje ktk reserve ya TANE Road
Iyo dar station ni kwa sababu mradi wa brt umesaidia pale nje pamekaa vizuri
Hata archicture design tu ya jengo imekaa kiuchafu uchafu tu ,sijui ni eng gani anakula hela za serikali .Kaangalie station ya Mombasa na Nairobi
Uwanja wa arusha nao aisee outdoor na indoor design ni vyuma tu ndo vinaonekana
Basi bila shaka atakuwa mshabiki wa man uMkuu @BRONDO anasema landscape ya nje iko vizuri sanaa
Kuna miamba/mawe kama umetembea Dodoma utayaona. Ya Dar ni Tanzanite ambayo inapatika Tz tu. Sasa tuambiwe yale mabox na vioo ya station za Kenya ubunifu ule ulikuwa inspired na nini.Sawa mkuu umeshinda ,hivi ubunifu wa station ya Dodoma waliresemble nini vile? Ukame ,jangwa au vumbi?
Ni wapi ninezungumzia landscape ya nje? Umeishiwa hoja unaanza viroja?Mkuu @BRONDO anasema landscape ya nje iko vizuri sanaa
Jamaa anakuchafuaNi wapi ninezungumzia landscape ya nje? Umeishiwa hoja unaanza viroja?
Naenda nae taratibu tutaelewana tu.Jamaa anakuchafua
Kuna mtu anasema hakuna kitu wameweka tu vioo 😂Ile station ya Nairobi, inavutia sana hata kwa kuitazama tu...
Mchoraji wa lile jengo alitulia na alibuni kitu futuristic...
NImeomba ya Dodoma ,maelezo mengi haya niongezee na ya Morogoro inaresemble nini bwasheeKuna miamba/mawe kama umetembea Dodoma utayaona. Ya Dar ni Tanzanite ambayo inapatika Tz tu. Sasa tuambiwe yale mabox na vioo ya station za Kenya ubunifu ule ulikuwa inspired na nini.
Ngoja nimuulize 😂Basi bila shaka atakuwa mshabiki wa man u
Eti bwashee unashabikia Man u?Naenda nae taratibu tutaelewana tu.