Mazingira ya sasa, kuandamana Tanzania sio salama. Usitegemee wazungu au Serikali itakulinda

Mazingira ya sasa, kuandamana Tanzania sio salama. Usitegemee wazungu au Serikali itakulinda

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Nafasi niliyoacha hapo juu ni kwa ajili ya salam

Tanzania kuandamana kwa sasa ni hatari kwa sababu lazima upate madhara ,wazazi na walezi waase watoto wenu kila mmoja anaona kila kitu kimepararaizi na wengi wanaandamana moyoni .

Kila mmoja ana lake hasa katika awamu hii Ajira, katiba mpya, gharama za maisha, ufisadi, mikopo na mambo mengi sana yanaumiza wananchi kusema kweli mpk wengine wameamua tu kua busy na mkate wao wa kila siku mambo ya nchi hawana time nayo kabisa

Sasa njia sahihi ya suluhisho la haya matatizo sio kuingia Road kwa sababu utapata madhara, watu wako tayri kulinda ulaji kwa gharama yeyote .

Sio uoga lakini kijana usitoke tufikirie njia nzuri ya kutatuliwa changamoto zetu na tujaribu kuwa idealistic.
 
NI MPUMBAVU PEKEE ATAANDAMANA
YALIYOTOKEA 29 OCT yanatosha.
 
Nafasi niliyoacha hapo juu ni kwa ajili ya salam

Tanzania kuandamana kwa sasa ni hatari kwa sababu lazima upate madhara ,wazazi na walezi waase watoto wenu kila mmoja anaona kila kitu kimepararaizi na wengi wanaandamana moyoni .

Kila mmoja ana lake hasa katika awamu hii ,Ajira ,katiba mpya,gharama za maisha,ufisadi ,mikopo ,mambo mengi sana yanaumiza wananchi kusema kweli mpk wengine wameamua tu kua busy na mkate wao wa kila siku mambo ya nchi hawana time nayo kabisa

Sasa njia sahihi ya suluhisho la haya matatizo sio kuingia Road kwa sababu utapata madhara ,watu wako tayri kulinda ulaji kwa gharama yeyote .

Sio uoga lakini kijana usitoke ,tufikirie njia nzuri ya kutatuliwa changamoto zetu na tujaribu kuwa idealistic.
Mtu ufi wewe shobo za nini?

Ushauri mreefu na huruma za kinafki nyingi kwani unakufa wewe?
 
Mtu ufi wewe shobo za nini?

Ushauri mreefu na huruma za kinafki nyingi kwani unakufa wewe?
Kelele nyingii na fake Id zenu.
Mbona hukujitoa muhanga hiyo oct 29.
Wewe ndie mnafiki maana ulitakiwa uwe umeshakufa au umepewa kesi ya uhaini.
 
Unazungumzia maandamano ya namna gani? Unataka kusema hata maandamano ya ccm ni hatari?
 
Kelele nyingii na fake Id zenu.
Mbona hukujitoa muhanga hiyo oct 29.
Wewe ndie mnafiki maana ulitakiwa uwe umeshakufa au umepewa kesi ya uhaini.
acha ujinga we kenge kuhamasisha watu wakauwawe kwenye maandamano, nini kinakufurahisha kwenye vurugu hizo?
 
NI MPUMBAVU PEKEE ATAANDAMANA
YALIYOTOKEA 29 OCT yanatosha.
Mtume unamaanisha nini kuwaita wakina Sarungi wapumbavu.

Safari hii wafuatao wataongoza maandamano nchini
1. Mwaipaya
2. Hilda newton
3. Maria sarungi
4.. mange mibangi
 
wapambanaji hawanamuda na mandamano ya vibaka

manadamano ni sumu ya maendeleo kama kijana mwenye malengo huwezi kuingia barabarani kupora na kuharibu miundombinu ya uma huku ukufanya wizi wa mali za wapambanaji,niwaombe jeshi liwashushe bega wachache hao watakaokengeuka
 
Mtume unamaanisha nini kuwaita wakina Sarungi wapumbavu.

Safari hii wafuatao wataongoza maandamano nchini
1. Mwaipaya
2. Hilda newton
3. Maria sarungi
4.. mange mibangi
Kwasababu hawajui wanachokitaka.. na vipi tunaandamana kwa utaratibu upi?? Unamuandamania nani,, huyo nani aje tuandamane nae sasa,, sio unasubiri watu wafe ndio upate kiti huo Ufara aise, nimeona jana Heche kapost vibint vyake vitatu,, ntafurahi nikiandamana na kimoja ,, vip huyo mange hana ulemavu wowote aje hapa tupige kazi..

Kinachomfanya mange asiwepo ndio sababu ya mimi pia kutokuwepo.
 
1782648181441.png
 
Back
Top Bottom