Mazingira ya sasa, kuandamana Tanzania sio salama. Usitegemee wazungu au Serikali itakulinda

Mazingira ya sasa, kuandamana Tanzania sio salama. Usitegemee wazungu au Serikali itakulinda

Nc
Kwasababu hawajui wanachokitaka.. na vipi tunaandamana kwa utaratibu upi?? Unamuandamania nani,, huyo nani aje tuandamane nae sasa,, sio unasubiri watu wafe ndio upate kiti huo Ufara aise, nimeona jana Heche kapost vibint vyake vitatu,, ntafurahi nikiandamana na kimoja ,, vip huyo mange hana ulemavu wowote aje hapa tupige kazi..

Kinachomfanya mange asiwepo ndio sababu ya mimi pia kutokuwepo.
Ambacho nina uhakika nacho ni kwamba dunia nzima, hakuna taifa hata moja ambalo tabaka tawala na tabaka tawaliwa wana enjoy same benefits, hakuna
 
Njaa mbaya mno!!
JOINED
Kazi ni kipimo cha utu
 

Attachments

  • Screenshot_20260628_150539.jpg
    Screenshot_20260628_150539.jpg
    45.1 KB · Views: 10
Mtu ufi wewe shobo za nini?

Ushauri mreefu na huruma za kinafki nyingi kwani unakufa wewe?

Nimekuelewa sana na upo sahihi
mtu tokea amezaliwa hadi sasa hana amani, maisha hayaeleweki, kutawaliwa kwa nguvu bora ajitoe muhanga kwaajiri ya wengine
 
Back
Top Bottom