Mazingira ya Tanzania yanatulazimisha vijana kuwa wajinga

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani umesababishwa na watu wanaonizunguka, vipindi vya redio na televisheni navyoangalia, content na comments nazosoma mitandaoni.

Kwa ufupi Kitabu cha Nchi ya wasioona kinamuelezea Mwanaume mmoja aliyejikuta yupo katika Nchi ya vipofu kutokana na kuamini kwake kuwa chongo ni mfalme mbele ya vipofu akawa na imani kubwa kuwa atapewa heshima na atapata wakati mzuri awapo huko kutokana na macho yake yanayofanya kazi lakini kwa bahati mbaya haikuwa hivyo alivyotarajia na mwisho ikalazimika wamtoboe macho ili aendane sawa na jamii iliyomzunguka.

Ukweli mchungu rate ya wajinga Tanzania ni kubwa sana compared na wenye utimamu baadhi ya hao wajinga ndio wake, wazazi, wajomba, viongozi, waalimu na watoto wetu kitu kinachofanya wale wenye akili kuonekana wajinga na kulazimika kubadilika kuendana na kasi ya wajinga.

Jaribu kuangalia vitu vinavyotrend mitandaoni kwa sasa, tabia zilizoonekana hatarishi kipindi cha nyuma sasa ndio zinaonekana ujanja mfano halisi ni promo zinazopigwa kuhusu kwa mpalange na mashoga unakuta hata wale ma Innocent kama mimi BabaMorgan tunaanza kuingia kwenye mfumo wa mambo ya ajabu.

Tusiwaseme vijana wa Tanzania vibaya ya kuwa ni wajinga wakati nyinyi wazee ndio mmesababisha na kudhulumu mindset zetu tunaendeleza kile mlichokianzisha.

From northern part of Tanzania
 
Kwa ufupi Kitabu cha Nchi ya wasioona kinamuelezea Mwanaume mmoja aliyejikuta yupo katika Nchi ya vipofu kutokana na imani yake kuwa chongo ni mfalme mbele ya vipofu akawa na imani kubwa kuwa atakuwa na hes
Tatizo ni ccm
 
Kama hutojali tafadhali unaweza kuniambia ni KWA sababu Gani umenijibu hivyo(Kwenye reply yako)

Sorry mkuu, nilikuwa nachangia uzi nikaquote post yako kwa bahati mbaya tu…. nishafuta hapo juu.
 
Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani umesababishwa na watu wanaonizunguka, vipindi vya redio na televisheni navyoangalia, content na comments nazosoma mitandaoni.

Kwa ufupi Kitabu cha Nchi ya wasioona kinamuelezea Mwanaume mmoja aliyejikuta yupo katika Nchi ya vipofu kutokana na imani yake kuwa chongo ni mfalme mbele ya vipofu akawa na imani kubwa kuwa atakuwa na heshima

Vitu vingi ni common sense. Vijana wanakosea kufikiri, systems, mifumo ya nchi haziko vizuri kuwasaidia wananchi.

Solutions ni vijana kuchagua serikali itayowasaidia au kuanzisha chama chao.

Sio kupigana mtaani, utakufa ndani ya miaka mitano.
 
Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani umesababishwa na watu wanaonizunguka, vipindi vya redio na televisheni navyoangalia, content na comments nazosoma mitandaoni.

Kwa ufupi Kitabu cha Nchi ya wasioona kinamuelezea Mwanaume mmoja aliyejikuta yupo katika Nchi ya vipofu kutokana na kuamini kwake kuwa chongo ni mfalme mbele ya vipofu akawa na imani kubwa kuwa atapewa heshima na atapata wakati mzuri awapo huko kutokana na macho yake yanayofanya kazi lakini kwa bahati mbaya haikuwa hivyo alivyotarajia na mwisho ikalazimika wamtoboe macho ili aendane sawa na jamii iliyomzunguka.

Ukweli mchungu rate ya wajinga Tanzania ni kubwa sana compared na wenye utimamu baadhi ya hao wajinga ndio wake, wazazi, wajomba, viongozi, waalimu na watoto wetu kitu kinachofanya wale wenye akili kuonekana wajinga na kulazimika kubadilika kuendana na kasi ya wajinga.

Jaribu kuangalia vitu vinavyotrend mitandaoni kwa sasa, tabia zilizoonekana hatarishi kipindi cha nyuma sasa ndio zinaonekana ujanja mfano halisi ni promo zinazopigwa kuhusu kwa mpalange na mashoga unakuta hata wale ma Innocent kama mimi BabaMorgan tunaanza kuingia kwenye mfumo wa mambo ya ajabu.

Tusiwaseme vijana wa Tanzania vibaya ya kuwa ni wajinga wakati nyinyi wazee ndio mmesababisha na kudhulumu mindset zetu tunaendeleza kile mlichokianzisha.

From northern part of Tanzania
Mwenye akili huwa hafati mkumbo, huwa anafata anachokiamini.

Unaweza kubaki peke yako kati ya watu mia, wala hutakufa.
 
Ubongo unaathiriwa sana na content ya vitu unavyoingiza kwa kutumia milango yako ya fahamu. Ni kama computer. INPUT (bad content)= OUTPUT (bad decisions)/ low productivity
 
I expected this to be long 😒
 
Ubongo unaathiriwa sana na content ya vitu unavyoingiza kwa kutumia milango yako ya fahamu. Ni kama computer. INPUT (bad content)= OUTPUT (bad decisions)/ low productivity
Hii concept tungeijua basi tungewaweka watoto wetu mbali na miziki,na bongo muvi na vikatuni vya ajabu ajbau.

Lakini wabongo wengi hawalijui hili
 
Mwenye akili huwa hafati mkumbo, huwa anafata anachokiamini.

Unaweza kubaki peke yako kati ya watu mia, wala hutakufa.
Tangu unazaliwa unatengezewa mifumo automatically unakuwa haufati mkumbo ila mkumbo unakuwa unakuwinda na siku ikifika unabaki unashangaa imekuaje umekuwa kama wale.
 
Hii concept tungeijua basi tungewaweka watoto wetu mbali na miziki,na bongo muvi na vikatuni vya ajabu ajbau.

Lakini wabongo wengi hawalijui hili
Unamuweka mbali na Tv kwako ila kwa jirani na shule anaangalia adults contents
 
Back
Top Bottom