BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani umesababishwa na watu wanaonizunguka, vipindi vya redio na televisheni navyoangalia, content na comments nazosoma mitandaoni.
Kwa ufupi Kitabu cha Nchi ya wasioona kinamuelezea Mwanaume mmoja aliyejikuta yupo katika Nchi ya vipofu kutokana na kuamini kwake kuwa chongo ni mfalme mbele ya vipofu akawa na imani kubwa kuwa atapewa heshima na atapata wakati mzuri awapo huko kutokana na macho yake yanayofanya kazi lakini kwa bahati mbaya haikuwa hivyo alivyotarajia na mwisho ikalazimika wamtoboe macho ili aendane sawa na jamii iliyomzunguka.
Ukweli mchungu rate ya wajinga Tanzania ni kubwa sana compared na wenye utimamu baadhi ya hao wajinga ndio wake, wazazi, wajomba, viongozi, waalimu na watoto wetu kitu kinachofanya wale wenye akili kuonekana wajinga na kulazimika kubadilika kuendana na kasi ya wajinga.
Jaribu kuangalia vitu vinavyotrend mitandaoni kwa sasa, tabia zilizoonekana hatarishi kipindi cha nyuma sasa ndio zinaonekana ujanja mfano halisi ni promo zinazopigwa kuhusu kwa mpalange na mashoga unakuta hata wale ma Innocent kama mimi BabaMorgan tunaanza kuingia kwenye mfumo wa mambo ya ajabu.
Tusiwaseme vijana wa Tanzania vibaya ya kuwa ni wajinga wakati nyinyi wazee ndio mmesababisha na kudhulumu mindset zetu tunaendeleza kile mlichokianzisha.
From northern part of Tanzania