Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

Ndiyo maana mkuu Mshana Jr unapenda maandamano na vurugu sana. Una roho ngumu. Mimi siwezi hata nikasogea mahali mwili wa binadamu unachomwa moto
Dah! Ila miili iliyotobolewa kwa risasi za moto kwa maelfu ikarundikwa pamoja unaweza kuisogelea?
Mimi si muuaji bali ni mhudmu wa chumba cha wafu! Na kule hakuna siasa wala vyama! Ukishakata moto tutakuhudumia kwa upendo na kwa usawa na kwa heshima kama mwingine yeyote yule
 
Huyu Stuxnet anaigiza kuogopa miili kuchomwa eti hawezi kusogelea ila kutwa humu anafurahia mauaji ya kinyama ya vijana wadogo Oktoba 29, 30 na 31.
 
Kwa mara ya kwanza mtu nayemjua alikuwa cremated last year, family member alikuwa Atheist, alitoa maagizo achomwe.

So the rest of the family made a joke wakiongelea ratiba ya mazishi: Baada ya kuagwa anapelekwa motoni :2Head:
 
Kuna mixed feelings kwenye lile tukio yaani badala ya kuzikwa anachomwa na moto mkali kabisa na baada ya muda kinachobaki ni majivu yasiyozidi kilo 2
 
Ukifa stori inaishia hapo. Vyovyote utakavyofanyia baada ya hapo ni sawa tuu. 😊

Uchomwe, ugandishwe, ukatwe mishikaki, ufukize udongo wa tani saba chini futu sita, uliwe na ndege, uliwe na funza mpaka uishe, hakuna utakachohusika nacho, kujua, au kuhisi. 😊
 
Dah! Ila miili iliyotobolewa kwa risasi za moto kwa maelfu ikarundikwa pamoja unaweza kuisogelea?
Mimi si muuaji bali ni mhudmu wa chumba cha wafu! Na kule hakuna siasa wala vyama! Ukishakata moto tutakuhudumia kwa upendo na kwa usawa na kwa heshima kama mwingine yeyote yule
Hiyo maelfu ni uzushi tu. Watu wamekufa ila siyo maelfu. Mbona hata familia zinazotafuta ndugu zao sijazisikia mitaa jirani yangu huko Msewe, Baruti na Kimara Korogwe
 
Huyu Stuxnet anaigiza kuogopa miili kuchomwa eti hawezi kusogelea ila kutwa humu anafurahia mauaji ya kinyama ya vijana wadogo Oktoba 29, 30 na 31.
Wale mahayawani walistahili kula shaba. Zile vurugu zisingedhibitiwa nchi ingewaka moto vibaya. Imagine ile damage ya masaa machache iko namna ile. What if ingeendelea kwa wiki moja, mwezi mmoja?? Hii si ingekuwa Sudan nyingine
 
Back
Top Bottom