APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,278
- 12,584
Inategemeana na nini? Jinsia,uzani,urefu,uraia au nin?Inategemea na aliyekufa kuna wa kuchomwa na magogo, mkaa, majani, au gesi
Inategemeana na nini? Jinsia,uzani,urefu,uraia au nin?Inategemea na aliyekufa kuna wa kuchomwa na magogo, mkaa, majani, au gesi
Mpwaa nilikuwa rosegraden ungenishtua nije kuhudhuroa tukapate 2/3 maana kuWiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho
Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu
Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo na kiimani kwenye hizi dini zinazoabudu miungu
Dhana kubwa hapa ni kuifanya roho iuachilie mwili na kuwa huru kwenda kuingia kwenye hatua nyingine ya maisha ( reincarnation, rebirth ama into realms)
Mazishi mengine ya kimapokeo ni kuuhifadhi vizuri mwili kwenye vifaa ambavyo vitafanya mwili usihabike kwa imani kwamba kuna siku uhai wake utarejea
Na mengine ni kuukausha mwili au kuuweka kwenye kichanja ili uwe chakula cha ndege na wanyama wengine
Sasa hili la kuchoma pia lina namna na taratibu zake kulingana na imani husika
Wakati Wahindu wakiamini katika kutanguliza miguu kwenye tanuru la moto wachina wao wanaamini kwenye kutangliza kichwa
Dhana ya kutanguliza miguu.. Ulikuja duniani ukitanguliza kichwa sasa utarudi kwa kutanguliza miguu kwakuwa unaweza kutembea sasa!
Dhana ya kutanguliza
kichwa kwenye tanuru
Ulitanguliza kichwa ulipokuja duniani, utatanguliza kichwa utakapoondoka
Laiti kama yale matanuru yangekuwa ya vioo. Hakika tungejionea maajabu namna mwili unavyopokea moto kwa mara ya kwanza katika ufu wake na vile unavyoteketea mpaka unakuwa jivu
Ukitanguliza miguu nyama zote za miguuni hupanda mpaka kiunoni na kuendelea kuungua hadi kichwani.. Lakini ukitqnguliza kichwa nyama zote kichwani hujivuta pia mpaka kiunoni na kuendelea kuteketea kuelekea miguuni
Umegundua nini hapo!! Kiuno ndio centa bolt ya mwili.. Ndio maana kuna mpemba baada ya kuzinduka hospitali akauliza ameumia wapi na wapi
Madktari wakamwambia amekatwa miguu yote.. Akauliza na kiuno je? Akaambiwa hicho kimesalimika😆 Huwezi kuamini alifurahi mno!
Nashanga!Huyu Stuxnet anaigiza kuogopa miili kuchomwa eti hawezi kusogelea ila kutwa humu anafurahia mauaji ya kinyama ya vijana wadogo Oktoba 29, 30 na 31.
Labda miaka 500 ijayo, lakini kwa Tanzania ardhi bado tunayo ya kutoshaArdhi ikija kuwa shida watu watachomwa tu.
Hakuna kitu kama hicho .sisi waislam tunafandishwa ukifa haimaanishi ndo umemaliza.unakuwa na fahamu na unasikia Kila kitu.ila unakuwa umeshakata mawasiliano na DuniaTajiri ukifa, unakuwa tuu kama mshikaki. Hakuna utachosikia, kuhisi, kuona wala kunusa. 😊
Hakuna biashara ya kuchomana moto kwenye uislam hapa Duniani.Utagombana kivipi wakati wanaochomwa ni wafu?..au utageuka mzimu uwatese wachomaji?
Unaogopa ukichomwa hutafufuka siku ya kiama?Hakuna biashara ya kuchomana moto kwenye uislam hapa Duniani.
Kufufuliwa ni lazma.shida ukichomwa moto unateseka kuanzia hapa Duniani.Unaogopa ukichomwa hutafufuka siku ya kiama?
Hakuna kitu kama hicho .sisi waislam tunafandishwa ukifa haimaanishi ndo umemaliza.unakuwa na fahamu na unasikia Kila kitu.ila unakuwa umeshakata mawasiliano na Dunia
Maiti ikichomwa moto inateseka vipi?Kufufuliwa ni lazma.shida ukichomwa moto unateseka kuanzia hapa Duniani.
Hata uliwe na samaki mifupa Yako ipotee utafufuliwa tu
Kufufuliwa ni lazma.shida ukichomwa moto unateseka kuanzia hapa Duniani.
Hata uliwe na samaki mifupa Yako ipotee utafufuliwa tu
Swali zuri sana...Maiti ikichomwa moto inateseka vipi?
Wewe unaona mtu katulia basi ndo kamaliza.sio hivyo Kuna maisha baada ya kifo.na uanzia pale pale ulipokata rohoSwali zuri sana...
Sio GOGO LILE.ni mwili ulikuwa na UHAI.na umeahidiwa maisha baada ya kufa.na hayo maisha yanaanzia pale tu ukishakufa.Maiti ikichomwa moto inateseka vipi?
OK kumbe unaongea mambo ya hadithi za kufikirika kila la heriSio GOGO LILE.ni mwili ulikuwa na UHAI.na umeahidiwa maisha baada ya kufa.na hayo maisha yanaanzia pale tu ukishakufa.
Yanaitwa maisha ya barzaq.yaani maisha ya Giza.
Hapo ndo tutaonana na MALAIKA macho Kwa macho
Mbona hata sayansi imethibitisha kuwa mtu akifa anakuwa bado ana ufahamu.OK kumbe unaongea mambo ya hadithi za kufikirika kila la heri
😂😂😂Utapiga chafya au sioMimi moto hapana tutagombana
OK tuishie hapa.Mbona hata sayansi imethibitisha kuwa mtu akifa anakuwa bado ana ufahamu.