Dah! Ila miili iliyotobolewa kwa risasi za moto kwa maelfu ikarundikwa pamoja unaweza kuisogelea?Ndiyo maana mkuu Mshana Jr unapenda maandamano na vurugu sana. Una roho ngumu. Mimi siwezi hata nikasogea mahali mwili wa binadamu unachomwa moto
Utagombana kivipi wakati wanaochomwa ni wafu?..au utageuka mzimu uwatese wachomaji?Mimi moto hapana tutagombana
Huyu Stuxnet anaigiza kuogopa miili kuchomwa eti hawezi kusogelea ila kutwa humu anafurahia mauaji ya kinyama ya vijana wadogo Oktoba 29, 30 na 31.Dah! Ila miili iliyotobolewa kwa risasi za moto kwa maelfu ikarundikwa pamoja unaweza kuisogelea?
Mimi si muuaji bali ni mhudmu wa chumba cha wafu! Na kule hakuna siasa wala vyama! Ukishakata moto tutakuhudumia kwa upendo na kwa usawa na kwa heshima kama mwingine yeyote yule
Kibanda ukiwa mfu cha nini sasa?.. kwanini wasiwajengee walio hai tu?.Hatari sana, mtu unaishi hadi unakata roho bila kujenga nyumba na bado ukifa usijengewe hata kibanda.
Kuna mixed feelings kwenye lile tukio yaani badala ya kuzikwa anachomwa na moto mkali kabisa na baada ya muda kinachobaki ni majivu yasiyozidi kilo 2Kwa mara ya kwanza mtu nayemjua alikuwa cremated last year, family member alikuwa Atheist, alitoa maagizo achomwe.
So the rest of the family made a joke wakiongelea ratiba ya mazishi: Baada ya kuagwa anapelekwa motoni
Mimi moto hapana tutagombana
Inategemea na aliyekufa kuna wa kuchomwa na magogo, mkaa, majani, au gesiKumchoma mfu mnatumia mafuta ya taa,kuni au nini?
Kumbukumbu ni muhimu kwamba hiki ni kibanda cha babu flani.Kibanda ukiwa mfu cha nini sasa?.. kwanini wasiwajengee walio hai tu?.
๐๐๐ daahNikiona dalili za kufufuka namlamba chepe la kichogo๐
Hiyo maelfu ni uzushi tu. Watu wamekufa ila siyo maelfu. Mbona hata familia zinazotafuta ndugu zao sijazisikia mitaa jirani yangu huko Msewe, Baruti na Kimara KorogweDah! Ila miili iliyotobolewa kwa risasi za moto kwa maelfu ikarundikwa pamoja unaweza kuisogelea?
Mimi si muuaji bali ni mhudmu wa chumba cha wafu! Na kule hakuna siasa wala vyama! Ukishakata moto tutakuhudumia kwa upendo na kwa usawa na kwa heshima kama mwingine yeyote yule
Wale mahayawani walistahili kula shaba. Zile vurugu zisingedhibitiwa nchi ingewaka moto vibaya. Imagine ile damage ya masaa machache iko namna ile. What if ingeendelea kwa wiki moja, mwezi mmoja?? Hii si ingekuwa Sudan nyingineHuyu Stuxnet anaigiza kuogopa miili kuchomwa eti hawezi kusogelea ila kutwa humu anafurahia mauaji ya kinyama ya vijana wadogo Oktoba 29, 30 na 31.
Hahaha kumbe, basi hapo hakuna namnaMarehemu hatakiwi kufufuka! Italeta taharuki kubwa mochwari, hospital na kwenye jamii๐
Shukrani. NitawatafutaKuna kampuni za mazishi pale Muhimbili naweza kukupatia contact zao wakakupa makisio.. Huyu wa kwetu ilikuwa around USD 1500 foreigner