Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

Mpwaa nilikuwa rosegraden ungenishtua nije kuhudhuroa tukapate 2/3 maana ku
 
Kuna mjomba mmoja kasema azikkwe kwenye Benz yake ntakualika mkuu sikujua una ka exp ka haya mambo ya kuzikana kioman
 
Ardhi ikija kuwa shida watu watachomwa tu.
Labda miaka 500 ijayo, lakini kwa Tanzania ardhi bado tunayo ya kutosha

Kama Baba wa familia, wakati unatenga bajeti ya kujenga nyumba ya kisasa, kununua gari la kifahari sio mbaya kuanza kununua maeneo kwaajili ya kuzikia Wanafamilia

Unaawaambia kabisa watoto wako, nimenunua eneo la ekari mbili sehemu Fulani, kesho nikifa basi mtaenda kunihifadhi pale

Hii itasaidia kutokuchomwa moto Wanafamilia, kwani ekari 2 kwa kuzika ni eneo kubwa ambapo wanaweza kuzika miaka mingi ijayo
 
Tajiri ukifa, unakuwa tuu kama mshikaki. Hakuna utachosikia, kuhisi, kuona wala kunusa. 😊
Hakuna kitu kama hicho .sisi waislam tunafandishwa ukifa haimaanishi ndo umemaliza.unakuwa na fahamu na unasikia Kila kitu.ila unakuwa umeshakata mawasiliano na Dunia
 
Maiti ikichomwa moto inateseka vipi?
Sio GOGO LILE.ni mwili ulikuwa na UHAI.na umeahidiwa maisha baada ya kufa.na hayo maisha yanaanzia pale tu ukishakufa.
Yanaitwa maisha ya barzaq.yaani maisha ya Giza.
Hapo ndo tutaonana na MALAIKA macho Kwa macho
 
Sio GOGO LILE.ni mwili ulikuwa na UHAI.na umeahidiwa maisha baada ya kufa.na hayo maisha yanaanzia pale tu ukishakufa.
Yanaitwa maisha ya barzaq.yaani maisha ya Giza.
Hapo ndo tutaonana na MALAIKA macho Kwa macho
OK kumbe unaongea mambo ya hadithi za kufikirika kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…