Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

Kuna mjomba mmoja kasema azikkwe kwenye Benz yake ntakualika mkuu sikujua una ka exp ka haya mambo ya kuzikana kioman
Nimewabutua sana wavimba macho mpaka wakanipa nishani.. Maana ilikuwa simu moja tu nshafika eneo la tukio!😂
 
Nadhani dhana ya kutanguliza miguu na dhana ya kutanguliza kichwa zinatumia assumption ambayo sio always right. Ingawa mara nyingi, watu wanakuja duniani kwa kutanguliza kichwa, wapo watu wengi waliokuja duniani kwa kutanguliza miguu.

Kuna procedural adjustment yoyote wanayofanya kuakisi jinsi mtu alivyokuja duniani?
 
Wanachagua the most common methods kwakuwa Ambiguities hazikosekani popote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…