Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tahadhari kabla ya hatari. Karibu tutaongea lugha moja.Chukua tahadhari
Kuna mtu alishasema tusichukue tahadhari hapo kabla?Tahadhari kabla ya hatari. Karibu tutaongea lugha moja.
Jana nimeona kwenye taarifa ya habari AljazeeraPathetic! Hivi kupima COVID19 ni mpaka Dar?
Acha woga wewe Nani kakuambia wanaccm wanapata corona??Tuendelee kuchukua tahadhari zinazotolewa na viongozi wetu wa Afya kuhusu kupambana na corona
Walimu ni bora ila madakatar nao ni kisangaaaaaaaaJana nimeona kwenye taarifa ya habari Aljazeera
Wanasansi wa Senegal,ndio Senegal nchi iliyoko Afrika ya Magharibi wameanza kutengeneza kifaa Cha kupia Covid19 kilicho fanana na kile wanachotumia wanawake kupima uja uzito,kwahiyo kila mtu atakuwa na uwezo wa kununua na kujipima
Wanyaruanda nao Hawaii nyuma,wametengeneza Ventilation yao mwenye badala ya kuagizia nje ambayo Bei yake ni €170000 kwa kila moja
Swali la kichokozi, wasomi na Wanasayansi wetu wako wapi,au ndio wanakimbilia kuwa wanasiasa na kuacha fani zao??
Acha woga wewe Nani kakuambia wanaccm wanapata corona??
Wewe utakuwa mwanaccm mjinga-mjinga au Ile kauli ya magufuli tusitishane umeisahau? Sisi wanalumumba hatuwezi kupata corona pia tembea kifua mbele
Rafiki, hapa usisubiri kutangaziwa. Fanya 1+1=2. Kwisha!Mwili tayari ulishafika nyumbani, mgonjwa alihudumiwa kama mgonjwa wa kawaida, mgonjwa alikuwa na ukaribu na watu wanaomzunguka.
Serikali imeamua kutotangaza, what does it mean? Tubaguane kwa sababu hatujui nani kakutana na nani muda gani, nani anatakiwa kuwa karantini ila hayuko.