Mazishi Naibu Meya Morogoro yasitishwa, mwili warejeshwa mochwari

Atembee kama DUME LA NYANI huku akisema tumevishinda vijimafua,sisi ni nyani hatuwezi kufa kwa vijimafua.Tumekaa na malaria,ukimwi miaka na miaka sembuse haka! kweli sisi tumetoka kwa manyani!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
Hii derivation ya If Function nimeipenda!
Ule mhimili unaosenwasemwaga kuwa ni 'rubber stamp' si umewaombea ruhusa waganga wa mitishamba kuzama maabara ili waibuke na chanjo ya hili dude!
Au hao Aljazeera hawajasikia?
 
SINTOFAHAMU ya mazishi ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, marehemu Isihaka Sengo imesababisha mganga mkuu wa manispaa hiyo, Ikaji Rashid kuwatawanya waombolezaji nyumbani kwa marehemu mpaka mwili wa mrehemu utakapofanyiwa uchunguzi wa kitabibu.

Utata huo ulijitokeza punde baada ya Mganga Mkuu Manispaa ya Morogoro, Ikaji Rashid kufika nyumbani kwa marehemu majira ya mchana jana na kuwakuta ndugu na jamaa wakijindaa kwenda kuzika kisha kuwataka kusitisha zoezi hilo na mwili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa uchunguzi.

Mganga huyo alisema, baada ya ofisi yake kupata taarifa kutoka hospitali aliyokuwa akitibiwa kwa mara ya mwisho kuna viashiria vya marehemu kuwa na maabukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).

“Serikali inasitisha mazishi hadi itakapotangazwa vinginevyo na mwili unakwenda kuhifadhiwa chumba cha maiti, mwili huu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro na hapo tutachukua sampuli leo (jana) na kuzituma Dar es Salaam kwa uchunguzi,”alisema Mganga Rashid.

Source, TimesMajira

Soma >>>> Diwani wa kata ya Kiwanja cha Ndege, Morogoro Afariki dunia,

Yule mama Lwakatare Je?? mana yeye naye tumesikia atazikwa na serikali watu wasiozidi 10
 
Hii nayo ni Breaking News? Mmmh JF naona inakosa umakini sasa!!
 
ni balaaa wakubwa hawatajwi.......ni utopolo ndio wanahusika na mjumuiko
 
Pathetic! Hivi kupima COVID19 ni mpaka Dar?

Ni katika kuhakikisha taarifa za Covid inatoa serikali peke ake,, hii inapelekea mazishi kucheleshwa kuzikwa.
 
Back
Top Bottom