Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Nadhani labda kuna mahali walichimba wakawa wanajengea hivyo udongo ukatakiwa kuhamishwa ulivyopakiwa kwenye mende uzito ulivyopimwa ikawa tani saba.

Probably, nikiwa mdogo nilikuwa najiuliza kwa nini tani 7?

Halafu nikawa kuna muda nalinganisha nawaza ina maana makaburi yote udongo wake ni uzito sawa?
 
Probably, nikiwa mdogo nilikuwa najiuliza kwa nini tani 7?

Halafu nikawa kuna muda nalinganisha nawaza ina maana makaburi yote udongo wake ni uzito sawa?
Hahaha hapana ila mara nyingi huwa naona wanachimba futi saba.

Ila kuna mahali nilienda kuzika upareni huko kaburi lilikuwa shallow sana kiasi sidhani haka kama zilifika futi 5. Nadhani sababu ilikuwa ardhi ya pale ni miamba miamba sana.
 
Sure, baadae nilihisi tu ni msemo, ila kuna namna uliibuka
 
Hahaha hapana ila mara nyingi huwa naona wanachimba futi saba.

Ila kuna mahali nilienda kuzika upareni huko kaburi lilikuwa shallow sana kiasi sidhani haka kama zilifika futi 5. Nadhani sababu ilikuwa ardhi ya pale ni miamba miamba sana.

Six Feet Under / Futi Sita

Huu ni msemo na origin yake ni as follows:-

It all started with the plague: The origins of “six feet undercome from a 1665 outbreak in England. As the disease swept the country, the mayor of London literally laid down the law about how to deal with the bodies to avoid further infections.
 
Acha kulaumu tu. Haujui kuwa hakuna ndege kwa sasa kwa sababu ya corona? Unakaa kijiji gani mpaka usijue hili? Hata ukichukuwa basi, unapoingia nchi nyingine unaweka karantini kwa siku 14.
 
Acha kulaumu tu. Haujui kuwa hakuna ndege kwa sasa kwa sababu ya corona? Unakaa kijiji gani mpaka usijue hili? Hata ukichukuwa basi, unapoingia nchi nyingine unaweka katantini kwa siku 14.
Inasikitisha tu hata huyo mke wake hakuna anyejua jina lake hapa JF...

Hata watoto tu basi..!!?

The Gods are many... Yani ya Mungu Mengi.
 
Acha kulaumu tu. Haujui kuwa hakuna ndege kwa sasa kwa sababu ya corona? Unakaa kijiji gani mpaka usijue hili? Hata ukichukuwa basi, unapoingia nchi nyingine unaweka katantini kwa siku 14.
Kwa kesi yake kwa nini rais hajaituma helikopta ikamchukue.

Mbona kwa Hasan Malin waliweza.?

Yote Tisa,toka kifo hata angetoka kwa gari alikuwa na uwezo wa kumzika mumewe. Labda kuna wosia yeye asiwepo kwenye maziko.

Lakini hakuna utetezi wowote ulo wa kushindwa kufika.

Sent using iphone pro max
 
Hata kusoma nikusomee? Ukingia Tanzania toka Kenya, unawekwa karantini kwa siku 14 kabla ya kuachiwa. Ukiingia upande wa Kenya nako hivyo hivyo. Mbona rahisi sana hili kueleweka. Kwani hauna ubongo kabisa wewe?
 
Mazishi ya Kingunge yaliendeshwa na katekista
 
Inasikitisha kwa vile marehemu hakufa magonjwa ya maambukizi kulikuwa na haraka gani kumzika haraka haraka? Si wangemsubiria tu mkewe?
 
Kauli za kibaguzi zimekujaa mdomoni chief...
utaishi kwa tabu sana kama una hizo element..
 
Yaani
Yaani nyie mkipigana lazima mpigane za pua. Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…