Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

Tabaka haziepukiki zaidi huku kwetu dunia ya tatu ndio kuna binadamu wanyonge dhidi ya binadamu viongozi-makupe.

Viongozi wa Bunge la Marekani, Spika Pelosi (Democrat) na Majority Leader McConnel (Republican), wamekataa kupokea kipimo cha Corona kinachotoa majibu papo kwa papo, na kusema kama kitu hicho kipo basi kipelekwe uswahilini huko ambako ndio kitafanya "a greater good."

Sasa juzi Spika Ndugai anasema atampigania udi na uvumba Marehemu Mbunge Ndassa asizikwe na serikali mputa mputa hapo hapo alipofia kama alivyompigania Mama Rwakatare na akazikwa kwenye maeneo yake, kwa sababu kwa Muafrika inaleta ukakasi kuzikwa mbali na kwenu.

Watanzania wengine wanaozikwa na serikali Ununio, usiku usiku, mputa mputa, hurusiwi hata kupiga picha, wale wana mila za nani, Wa-Spanish?????

Yani, unabaki unajiuliza, hivi viongozi wetu wa Afrika wanabaki wazima kweli vichwani wanapopata madaraka????
Mambo ya usiku yashapigwa stop
Sahv ni mchana kweupe
Ndg jamaa wanashiriki

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom