Mazishi ya Gaidi Ali larijan na mwenzake yamefanyika huko Tehran Iran

Mazishi ya Gaidi Ali larijan na mwenzake yamefanyika huko Tehran Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Uwanja wa Mapinduzi mjini Tehran: Mazishi ya Ali Larijani, mwanawe, washirika wake, na kamanda wa Basij waliouawa na Israeli.
Adiosamigo gallow bird 100 others gTurn mdogoee lini mnaanua Matanga?

 

Attachments

  • IMG_20260318_201329_604.jpg
    IMG_20260318_201329_604.jpg
    178.7 KB · Views: 19
Huyo kwataarifa yako walimpigia simu wakamwambia aondoke Iran au watamuwa akawambia haogopi kifo
Vipi yale mabomu manne ya nuclear ya Iran anayatumia lini? Na nilikwambia hapa kuwa nuclear sio masaburi kila mtu awe nayo.
 
Huyo kwataarifa yako walimpigia simu wakamwambia aondoke Iran au watamuwa akawambia haogopi kifo
Acha uongo una ushahidi gani walinpigia simukwamba aondoke? Maana IDF wao nia yao ni kuua magaidi wote wala si kazi yao kuwapigia simu watoroke!!

Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo lakini ubaki ukijua kipigo kiko palepale Mbwa nyie!!
 
leo mbona kimya awajajaa kwenye mfumo ninii jamani bikira wamebaki wengi wanawasubiria hukoo
 
Acha uongo una ushahidi gani walinpigia simukwamba aondoke? Maana IDF wao nia yao ni kuua magaidi wote wala si kazi yao kuwapigia simu watoroke!!

Endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo lakini ubaki ukijua kipigo kiko palepale Mbwa nyie!!
Wewe unafikiri mimi muongo kama wewe mimi sina tabia ya uwongo haya sikiliza mwenyewe alicho sema kabla ya kuuliwa kwa siku tu


View: https://youtube.com/shorts/1GglZppqeoA?si=znvW4fZ9MSKJ4jJu


View: https://youtube.com/shorts/mEfClWDH3T8?si=zPln0DqQnJL_e6xp
 
Hana mwenye akili ndogo hawezi kukubali uongo huu!!

Israel ni ndogo sana haiwezi kuwa na vituo vya kijeshi 100 kwanza jiulize nchi nzima ya Israel Ina wanajeshi wangapi?

Endeleeni tu kutoa milio safari hii mtanyooka tu!!
Dawa imekuingia ndipo , unajamba jamba tu
 
Back
Top Bottom