Mazishi ya hayati Mzee Edwin Mtei, Muasisi wa Chadema, Januari 24, 2026

Mazishi ya hayati Mzee Edwin Mtei, Muasisi wa Chadema, Januari 24, 2026

Waziri Mkuu anaongea kama yuko kwenye kampeni. Mambo ya barabara, soko n.k. vinahusika nini katika msiba?

Angejikita tuu kwenye hilo la kushughulikia yaliyozungumzwa na wengine.

Amandla...
 
Kwanza kitendo cha huyo Mwigulu kuchelewa msibani ni dharau tosha. Sielewi kwa nini serikali inapenda sana kudharau wapinzani. Halafu anafika amezungukwa na walinzi chungu nzima wanatembea naye kila kona utadhani sijui yeye ni nani. Upuuzi mtupu na dharau za kishenzi.
 
Naam
Naamini siku inakuja CHADEMA tutashika Dola
Lengo sahihi liwe ni kuwatumikia wananchi wa taifa hili kwa uadilifu na uzalendo mkubwa

Kushika dola bila kuzingatia hayo hakutatofautiana sana na hawa waovu.

Yeyote anatamani kushika dola, kama walivyo hawa wanaong'ang'ania kutawala kwa nguvu.

CHADEMA ni muhimu waonyeshe tofauti kubwa, kuliko kutamani tu "kushika dola".

Hapana. Hawa hawawadharau CHADEMA. Ni sahihi kabisa kusema hawa wanawaogopa/wanawahofia sana CHADEMA; ndiyo maana ya ishara hizo unazoziita wewe kuwa ni "dharau".
 
Kwanza kitendo cha huyo Mwigulu kuchelewa msibani ni dharau tosha. Sielewi kwa nini serikali inapenda sana kudharau wapinzani. Halafu anafika amezungukwa na walinzi chungu nzima wanatembea naye kila kona utadhani sijui yeye ni nani. Upuuzi mtupu na dharau za kishenzi.
hata wao wanautambua uharamu wao, ndiyo maana ya hayo uliyoyaeleza hapa.

Anajuwa wazi kuwa hata yeye mwenyewe ni "Waziri Mkuu' FEKI; anayeiwakilisha serikali HARAMU.
 
Back
Top Bottom