Lengo sahihi liwe ni kuwatumikia wananchi wa taifa hili kwa uadilifu na uzalendo mkubwaNaam
Naamini siku inakuja CHADEMA tutashika Dola
hata wao wanautambua uharamu wao, ndiyo maana ya hayo uliyoyaeleza hapa.Kwanza kitendo cha huyo Mwigulu kuchelewa msibani ni dharau tosha. Sielewi kwa nini serikali inapenda sana kudharau wapinzani. Halafu anafika amezungukwa na walinzi chungu nzima wanatembea naye kila kona utadhani sijui yeye ni nani. Upuuzi mtupu na dharau za kishenzi.