Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

Halafu tunaendelea kusema kuwa Tanzania kuna super stars!!


Anyway....hakuna jambo la ajabu kutoka katika team kama hiyo!!
 
waliyataka haya ! Sanda elf 10, kaburi kuchimba elf 60, ubao elf 10, maharage na uji elf 80, then Fuso ya kwenda kuzikia elf 50. Sasa ukianza mbwembwe za sanduku la south (kuna linaloitwa mtoto wa Dandu) viatu italy, suti Briliante, maua ya kenya, jukwaa la Jay Z, motorcade, kaburi tiles na zege, video ya show nzima !
 
Kumbe utapeli wanaougiza ndo maisha yao laivu?
But inasikitisha sana 48 milions mazishi?
Hawa jamaa lazima watapata misukosuko kwa manunung'uniko ya wanafamilia na wapenzi wa Kanumba.
Yangu masikio!
 
Iyo ya mpesa 20,000tshs nimechoka!
Anyway wekeni mambo hadharani basi wapenzi wake waridhike

Hii michango wanauliza ya nini? Kama mtu amezikwa tayari na mambo kwenda salama wanataka nini zaidi kwani hii ni harusi useme walikosa soda au chakula wakati walichanga? Mi nafikiri tujenge utamadani kama umetoa msaada acha kufuatilia na kama mtu amekula kisicholika kama michango ya Msiba acha Mungu ashughulike naye.
 
mnanifurahisha sana,
hata wangewaletea hayo mahela ya michango ndo angerudi Kanumba (R.I.P)
au mlijua ndo atm imefunguliwa.

pesa nini bana kulinganisha na uhai.
 
kama walifanikiwa kumwondoa sembuse
vijisenti. tena hawa akina ray mimi siwapendi kabisa.

Kumbe utapeli wanaougiza ndo maisha yao laivu?
But inasikitisha sana 48 milions mazishi?
Hawa jamaa lazima watapata misukosuko kwa manunung'uniko ya wanafamilia na wapenzi wa Kanumba.
Yangu masikio!
 
Wewe ni Mtitu, JB au Steve Nyerere!!??........wizi haukubaliki hata siku moja sehemu yeyote ile kwenye makusanyo ya pesa ni lazima urudi na mrejesho wa mapato na matumizi, tafadhali usije na majibu rahisi kwenye maswali magumu.:disapointed:
 
ona hata huo msalaba walivyouandika D.O.B na D.O.D hayo ni maneno gani haya.
wasanii wahuni wakubwa hawa.
 
hawa jamaa nikiwaona kwenye filamu nitakua nakumbuka wizi wa pesa za wsiba wa kanumba.
 
Kwani mumesahau zile tamthilia za Dude zinazoitwa Bongo Dar es Salaam? . Hii ndiyo Dar bwana wala usifamanishe na Mwanza au Morogoro. Wale akina JB, Ray na Steve wameumiza vichwa kuhakikisha msiba unabaki Sinza, mazishi Kinondoni na kuufanyia promo kwenye Tv na radio mbalimbali. Hiyo waliyobakia nayo ndiyo inaitwa agency fee.
 
natamani huyu mama yetu angetoa nr yake ya simu au bank account ili hela yote ya michango aipate mwenyewe.
 
Hii radio inaponzwa na RUGE na watangazaji wake baadhi wenye kihele hele na ushabiki wa kijinga siwataji sababu wamesemwa sana wanajifahamu otherwise motives za management ya CLOUDS RADIO & TV ni nzuri tu.
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, Huku A city zipo radio kibao zinapiga kata funua ile mbaya na wala hakuna anayemaind. Kwa hili cloudz mmejitakia. PUNGUZENI SPIDI, (fungeni kwa walau mwaka mmoja roho zetu zitulie) mie sipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…