Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waliyataka haya ! Sanda elf 10, kaburi kuchimba elf 60, ubao elf 10, maharage na uji elf 80, then Fuso ya kwenda kuzikia elf 50. Sasa ukianza mbwembwe za sanduku la south (kuna linaloitwa mtoto wa Dandu) viatu italy, suti Briliante, maua ya kenya, jukwaa la Jay Z, motorcade, kaburi tiles na zege, video ya show nzima !Tunaoona mbali tulishalisema hili tukaambulia kejeri na kuambiwa tunamuonea wivu Marehemu, harusi ya kifahari inaweza kufanyika kwa bajeti ya shilling millioni 20 tu, sasa msiba ndiyo mtu akwambie wametumia millioni 50 huu si ni uhuni? kinachoniuma mimi ni zile millioni 10 ambazo ni kodi zetu kwenda kuliwa na hawa wahuni.
Iyo ya mpesa 20,000tshs nimechoka!
Anyway wekeni mambo hadharani basi wapenzi wake waridhike
Kumbe utapeli wanaougiza ndo maisha yao laivu?
But inasikitisha sana 48 milions mazishi?
Hawa jamaa lazima watapata misukosuko kwa manunung'uniko ya wanafamilia na wapenzi wa Kanumba.
Yangu masikio!
Wewe ni Mtitu, JB au Steve Nyerere!!??........wizi haukubaliki hata siku moja sehemu yeyote ile kwenye makusanyo ya pesa ni lazima urudi na mrejesho wa mapato na matumizi, tafadhali usije na majibu rahisi kwenye maswali magumu.:disapointed:Hii michango wanauliza ya nini? Kama mtu amezikwa tayari na mambo kwenda salama wanataka nini zaidi kwani hii ni harusi useme walikosa soda au chakula wakati walichanga? Mi nafikiri tujenge utamadani kama umetoa msaada acha kufuatilia na kama mtu amekula kisicholika kama michango ya Msiba acha Mungu ashughulike naye.
ona hata huo msalaba walivyouandika d.o.b na d.o.d hayo ni maneno gani haya.
Wasanii wahuni wakubwa hawa.
ona hata huo msalaba walivyouandika D.O.B na D.O.D hayo ni maneno gani haya.
wasanii wahuni wakubwa hawa.
honestly..yasingetokea haya ndio ningeshangaaa