Mnyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 335
- 82
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, Huku A city zipo radio kibao zinapiga kata funua ile mbaya na wala hakuna anayemaind. Kwa hili cloudz mmejitakia. PUNGUZENI SPIDI, (fungeni kwa walau mwaka mmoja roho zetu zitulie) mie sipo.
Walichojitakia ni nini?
Sipendi kuita watu hawana akili lakini kwenye hili mnaonyesha jinsi mlivyofikia kwenye kikomo chenu cha upeo wa kufikiri.
Yaani kweli kabisa mtu na akili yako timamu unaona coverage waliyotoa Clouds kwenye msiba wa Kanumba wamenufaika kwa namna yoyote ile?
The whole thing was newsworthy and it was covered by just about every local media outlet. So why single out Clouds?
I bet none of you can prove that they commercially benefited from it. So stop your stupid hate and stop making unfounded allegations.