Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, Huku A city zipo radio kibao zinapiga kata funua ile mbaya na wala hakuna anayemaind. Kwa hili cloudz mmejitakia. PUNGUZENI SPIDI, (fungeni kwa walau mwaka mmoja roho zetu zitulie) mie sipo.

Walichojitakia ni nini?

Sipendi kuita watu hawana akili lakini kwenye hili mnaonyesha jinsi mlivyofikia kwenye kikomo chenu cha upeo wa kufikiri.

Yaani kweli kabisa mtu na akili yako timamu unaona coverage waliyotoa Clouds kwenye msiba wa Kanumba wamenufaika kwa namna yoyote ile?

The whole thing was newsworthy and it was covered by just about every local media outlet. So why single out Clouds?

I bet none of you can prove that they commercially benefited from it. So stop your stupid hate and stop making unfounded allegations.
 
Huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya chuki binafsi ambazo huenda zinasukumwa na wivu wa mafanikio ya Clouds!

Katika vyombo vyote vya habari vilivyoripoti wewe umeiona Clouds tu?

Na kwa taarifa yako 'wake' ya Kanumba ilikuwa newsworthy. You don't have a case. What you have is ridiculous and frivolous. So I say go ahead and make their day.
Ndugu yangu kwanini unamshambulia mleta mada? Kimsingi ana hoja kubwa. Kwa taarifa yako clouds wamepata sana na nina uhakika kama Nchi yetu ingekuwa na ustaarabu wa kuheshim hati milik familia ya Kanumba ingekuwa inachuma pesa sasa. But wajanja wanaojifanya eti wanaomboleza wanapata kupitia mgongo wake. Magazeti, clouds na hata waliothubutu kuchapisha na kuuza tishirts na vitabu wote hawa wanapaswa kulipa.
 
Clouds wamenufaikaje? Please break it down for me and provide supporting evidence...
 
....aghrrr, ht yule mtu mzima tumbotumbo? Hakika sanaa ilichukuwa nafasi kwny msiba wa msanii yule...na hii ni tz yetu ambayo ht msiba huwa dili, ni rahisi sana kuamini kwani wote ni wasanii waganga njaa....na hv mchele ulivyopanda bei!? Kwahyo wamepiga gunia zote ili wale na familia zao ama kweli dunia hadaa walimwengu shujaa!!!!
 
mkuu, wabongo akili yetu tunalazimisha iwe fupi na 'ndio maana wakenya wanatudharau'.
Hawa jamaa upeo wao hawawezi kuona huko unapopasema!

Lukindo bwana mimi simo, labda wewe mwenyewe!! kwanini umeamua kutukana Watanzania(Wabongo) wote?? Umeniudhi sana mzee.... yaani namimi umenijumuisha humo?:disapointed::disapointed:
 
walifanya la maana sana kumtimua ndugu angewasumbua kama anaanza kueneza uongo hata wakati hakuwepo je angekuwepo?
 
Kama waliovaa miwani walikuwa wanatembea na lulu wakijua kanumba ni mume mtarajiwa nini amekufa unahisi wataacha kuiba mchele unaoenda chooni baada ya kuliwa
kufa kufaana bwana
 
48m imetumikaje wakati hakukua na buffet kwa waombelezaji?
 
walichojitakia ni nini?

Sipendi kuita watu hawana akili lakini kwenye hili mnaonyesha jinsi mlivyofikia kwenye kikomo chenu cha upeo wa kufikiri.

Yaani kweli kabisa mtu na akili yako timamu unaona coverage waliyotoa clouds kwenye msiba wa kanumba wamenufaika kwa namna yoyote ile?

The whole thing was newsworthy and it was covered by just about every local media outlet. So why single out clouds?

I bet none of you can prove that they commercially benefited from it. So stop your stupid hate and stop making unfounded allegations.

you covered not as news but as event as if you have rights etc. It is very easy to prove how you benefited for doing that. Sorry if clouds is you company but the truth remains
 
Waacheni wafu wawazike wafu wao. Sanaa ndio kazi yake kuleta usanii...
 
kula hela wamekulaaa hiyo ni hakika ,
kwaniniwa
gombe
e msiba wa mwenzao wakati ana ndugu zake,si wangesapot tuuu,weziiiii haooooooo
 
wote wezi hao

lazima wasumbuliwe hadi mmoja aropoke ukweli. hiyo ya kuondoa ndugu wao ni akina nani?

SAD
 
you covered not as news but as event as if you have rights etc. It is very easy to prove how you benefited for doing that. Sorry if clouds is you company but the truth remains

Every media outlet covered it and yes, it was an event that was newsworthy. The wake was on public grounds which made it a public event. You don't need any special rights to cover a public event.

I'm sorry. Your claims are just too ludicrous to pass muster in the court of law.
 
aaah nilishangaa watu wako mbele zaidi kuliko utu ..watu waliguswa kumbe kwa mengi
 
hapa unahitaji msaada wa kujua vyombo vya habari vinanufaikaje!

Elezea kwa utondoti jinsi Clouds ilivyonufaika na jinsi ambavyo vyombo vingine vya habari havikunufaika. Kusema tu Clouds walinufaika haitoshi.
 
kwenye mazishi huwa kuna mambo ya mapato na matumizi? kuna fedha unayopewa viganjani
 
Back
Top Bottom