screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Apr 15, 2019 #21 lendanai said: ivi ni kkwann wanamuzik wa kimarekani lazima wawe mawakala wa makundi ya uhalifu Click to expand... Sio wazungu, ni hawa wasela mavi 'black america' lifestyle yao ndo inawaua Sent using Jamii Forums mobile app
lendanai said: ivi ni kkwann wanamuzik wa kimarekani lazima wawe mawakala wa makundi ya uhalifu Click to expand... Sio wazungu, ni hawa wasela mavi 'black america' lifestyle yao ndo inawaua Sent using Jamii Forums mobile app
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Apr 15, 2019 #22 papason said: hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo! Click to expand... Ni tofauti za kiiman bab....pale china chairman mao amewekwa kama sanamu hajazikwa mpaka leo....toka 1970s...
papason said: hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo! Click to expand... Ni tofauti za kiiman bab....pale china chairman mao amewekwa kama sanamu hajazikwa mpaka leo....toka 1970s...