Mazishi ya msanii Nipsey Hussle

Mazishi ya msanii Nipsey Hussle

hii si sawa hata kidogo, yaani mtu ana fariki leo kasha wajanja wanakuweka kwenye friji kwa takriban wiki3 kasha wanauzungusha mwili wako mji mzima alafu wiki ya 4 ndiyo wanakuzika, hapana kuna kitu hakipo sawa apo!
Ni tofauti za kiiman bab....pale china chairman mao amewekwa kama sanamu hajazikwa mpaka leo....toka 1970s...
 
Back
Top Bottom