Mazishi ya mwanamuziki General Defao yafanyika DR Congo

Atapataje mtoto wakati alikuwa anapika anapakuliwa!!
 
Kupata mtoto ni majaliwa na yeye hakubahatika kupata
 
RIP Legendary. Nakumbuka miaka ya 1990s alikuja TZ halafu baada ya show host wakamtelekeza.bakahifadhiwa na jimama flani Mtoni Kwa Aziz Ally. Nahisi hapo ndipo alipozoa virusi. Ila ka-survive kitambo
Jamaa hakuwa rizki.
 
Defao feat suka chile ilikuwa ngoma kali sana kutoka kwa marehemu general defao. (POSA)

[emoji441][emoji1623] Usifike kwangu, utaleta fujo na mpenzi wangu wa sasa tulitalaka na wewe oooposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…