Mazishi ya mwanamuziki General Defao yafanyika DR Congo

Mazishi ya mwanamuziki General Defao yafanyika DR Congo

Inakuwaje hajaacha mtoto? Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Wakongomani wenzake walioimba muziki wa Soukouss miaka ile ya tisini.

Ilikuwa ni raha tupu! Kuanzia yeye mwenyewe Jenerali Defao, Pepe Kalle, Aurlus Mabele, Bozi Boziana, Yondo Sister, Wenge Musica, Extra Musica, Allain Koukou, na wengineo wengi!
Atapataje mtoto wakati alikuwa anapika anapakuliwa!!
 
Inakuwaje hajaacha mtoto? Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Wakongomani wenzake walioimba muziki wa Soukouss miaka ile ya tisini.

Ilikuwa ni raha tupu! Kuanzia yeye mwenyewe Jenerali Defao, Pepe Kalle, Aurlus Mabele, Bozi Boziana, Yondo Sister, Wenge Musica, Extra Musica, Allain Koukou, na wengineo wengi!
Kupata mtoto ni majaliwa na yeye hakubahatika kupata
 
RIP Legendary. Nakumbuka miaka ya 1990s alikuja TZ halafu baada ya show host wakamtelekeza.bakahifadhiwa na jimama flani Mtoni Kwa Aziz Ally. Nahisi hapo ndipo alipozoa virusi. Ila ka-survive kitambo
Jamaa hakuwa rizki.
 
Defao feat suka chile ilikuwa ngoma kali sana kutoka kwa marehemu general defao. (POSA)

[emoji441][emoji1623] Usifike kwangu, utaleta fujo na mpenzi wangu wa sasa tulitalaka na wewe oooposa.
 
Back
Top Bottom