kimaus
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 582
- 707
Atapataje mtoto wakati alikuwa anapika anapakuliwa!!Inakuwaje hajaacha mtoto? Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Wakongomani wenzake walioimba muziki wa Soukouss miaka ile ya tisini.
Ilikuwa ni raha tupu! Kuanzia yeye mwenyewe Jenerali Defao, Pepe Kalle, Aurlus Mabele, Bozi Boziana, Yondo Sister, Wenge Musica, Extra Musica, Allain Koukou, na wengineo wengi!