Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Rejea mfalme Quubus wa Kuwait na yule mfalme wa Saudi Arabia, baba yake Mudi bin Suleiman.
Mapema tu hawakufika hata masaa 12 wakawa washazikwa
Sema ndio hivyo kwasababu ni mtu mkubwa bila shaka amefanyiwa vipimo vyote na kuhakikisha amekufa kweli
Ila huku kimtaa mtaa ukazimia masaa matano usitingishike utajikuta chafya imekubana ukiwa ndani ya kaburi
Kwanza aliyekufa akiongea mbona hapo ndani utakuwa uwanja wa fujoKumbe ndio sababu huwa wengine wanavundikwa mpaka mikono inaachana na mwili
Huwa wengine wanawekwa mpaka mwezi kumbe ni kusubiri apige chafya
Natamani kujua waliowekwa na wapendwa wao mda mrefu ni wangapi waliongea tena na wapendwa kufanya sherehe kurudi kwa mwenzao
Yupo aliezungushwa nchi nzima kusubiri ataamkia hata Zenji ila wapi
Nyie mambwa mmeiga kuvaa masuti kutoka kwa mungu wa italy
Kuvaa vipensi kanisani
Kulewa kanisani
Hamtawazi vizuri mkokojoa hasa wanawake papa zao ninanuka kama mzoga
Uzungu mwingi kama yesu alikuwa mzungu
Angalia viongozi wenu wanavaa kama kanzu na wal masister wanajistiri mpaka vichwa ila nyie mambwa sijui makondoo mnavyotwa hamjielewi dini ya uislamu 90% inaendana na. Tamaduni za kiafrika
Hata magovi bila uislamu usingekuwa mnatahiriwa kama wazungu
BladfakenKila din na tamaduni zake usifosi tufanane, coz huwezi kubadilisha kitu ndivyo ilivyo miaka na miaka hivyo tu
Hizi habari umezipata wapi ? Kujengea ni dhambi na ukifanya hivyo ni madhambi kinachotakiwa kufanywa ni kuweka alama ambayo ndugu au jamaa akienda muda wowote anajua ndugu yao alizikwa wapi.
Na nukuu :
Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kaburi kutiwa chokaa (liwe imara), kuketiwa juu yake na kujengewa. [Muslim]
Kutokana na Hadithi hii, swahaba Ali bin Abi Twalib kipindi cha utawala alipata habari kuna sehemu watu wanajengea makaburi, akatuma mtu au watu na kuwaamuru wakikuta kaburi lolote limeinuka kwa kujengewa basi wavunje hichi kilichojengwa.
Sasa unaposema inafaa kujengewa unatumia mafundisho ya nani katika Uislamu ?
Brother, usitake tufuate desturi ulizoamua wewe
[emoji3532]Wahindi wanachoma na maisha yapo poa wamebarikiwa kiuchumi kuliko hata sisi
[emoji3532] Wajaluo wanakaa hadi mwezi wskicheza ngoma na kufurahi kabla ya kuzika maisha yapo poa
[emoji3532] Yesu ambaye wakristu wanamfuata kaburi lake lilichongwa kwenye mwamba na likawekewa mlango wa jiwe na ilikuwa desturi zao siku ya tatu watu wanakwenda kumpaka mafuta ni mila zao mambo yapo poa
[emoji3532] Kuna makabila hapa bongo wanaviringishshwa kwenye mikeka, ngozi na wengine wanazikwa wamekalishwa kwenye kigoda mambo poa
[emoji3532]Hivyo msilete hizo mila za kiarabu muone kwamba ni jambo la ajabu saana. Kila jamii ina theories na misimamo tofauti kuhusu kifo na maziko
[emoji3532]Kama wewe umeamua kuchagua hizo mila za kukamuliwa nya kana kwamba unaweza kuiondoa yote mwilini, kana kwemba ukifika kaburini funza haeakufanyi mzoga ndani ya sekunde ni ninyi bosi
[emoji3532]Yote kwa yote ishi vizuri duniani na binaadamu mwenzako usimtende u aya wowote kwa kisingizio chochote, mema yako ndio yatakupeleka mbinguni na sio umezikwa vipi au unaangalizwa uelekeo gani
Kutahiliwa walianza waisrael(wakristo walikoiga) uoslamu ulikuja baada ya marioo wa hadija mshikaji mudi aliyeoa kademu kanmiaka 9 badae kukifunza akiwa kwenye biashara ya hadija kama muajiliwaNyie mambwa mmeiga kuvaa masuti kutoka kwa mungu wa italy
Kuvaa vipensi kanisani
Kulewa kanisani
Hamtawazi vizuri mkokojoa hasa wanawake papa zao ninanuka kama mzoga
Uzungu mwingi kama yesu alikuwa mzungu
Angalia viongozi wenu wanavaa kama kanzu na wal masister wanajistiri mpaka vichwa ila nyie mambwa sijui makondoo mnavyotwa hamjielewi dini ya uislamu 90% inaendana na. Tamaduni za kiafrika
Hata magovi bila uislamu usingekuwa mnatahiriwa kama wazungu
Waliogopa asije fufukaYule Mzee mbabaishaji walimtembeza nchi nzima hadi akawaozea
Kumbe namjibu kichaa🙄🙄🙄🙄Bladfaken
Hata wewe umeiga za wazunguHAZKUNA UBISHI KUWA WAISLAM WANEIGA TAMADUNI ZA KIRARABU
TAMADUNI HUWASILISHWA NA VITU VIFUATAVYO
[emoji3532] Lugha........mmeiga lugha ya kiarabu
[emoji3532] Mavazi....... mmeiga mavazi ya kiatabu
[emoji3532] Chakula.......mmeiga vyakula vya kiarabu
[emoji3532] Sheria za kijadi.....mnafuata za kiarabu
[emoji3532] Ngoma za kiasili.....mmeiga ngoma za kiarabu , madudufu mnayopiga kwenye qaswida ni ngoma za jadi za waarabu, na muziki wa taarabu nao ni wao
[emoji3532]Mifumo ya kimaisha, shetehe na maziko nayo mmeiga ya waarabu kwani huku bongo kila kabila lina jadi yake ya mazishi, kuna wanaozikwa na ngozi, kuna machifu wanazikwa wamekalia vigoda nk
Ni wote tu hata wafalme wa Saudia wanazikwa hivyo hivyo na huwa hawaweki alama zozote unajuwa kwa mfiwa anapozika na yeye anapata nafuu lakini mimi sipingi kumtolea heshima ok sawa ila hili la kufungua jeneza kila mtu kupita na kuaga hapa mimi sikubaliani nalo, hata waislamu wanaaga maiti ila wanaoingia ni ndugu wa karibu tu sio wote. Nadhani kuna haja ya kubadilika. Lakini swali tu nakuuliza sio ujinga hili la kufungua jeneza nitoka zamani au ni mambo yameibuka siku hizi? Huwezi kuwa na sheria marufuku kupiga picha za maiti na kusambaza halafu wewe unaweka hadharani siku hizi camera hata miwani tu au saa, kwanini ndugu tu wasiage ndani private basi. Niliona mazishi ya Bush au Michael Jackson sioni wakifungua wanapita tu na kutoa heshima basi.Aisee hadi kwa huyu mkubwa naye wamemuharakisha hivi?
Mwarabu wa Tanzania, hapo mtabishana mpakaKwani sheria za dini ya kiislamu sio sehemu ya utamaduni wao?
Doh Mwarabu wa TanzaniaNyie mambwa mmeiga kuvaa masuti kutoka kwa mungu wa italy
Kuvaa vipensi kanisani
Kulewa kanisani
Hamtawazi vizuri mkokojoa hasa wanawake papa zao ninanuka kama mzoga
Uzungu mwingi kama yesu alikuwa mzungu
Angalia viongozi wenu wanavaa kama kanzu na wal masister wanajistiri mpaka vichwa ila nyie mambwa sijui makondoo mnavyotwa hamjielewi dini ya uislamu 90% inaendana na. Tamaduni za kiafrika
Hata magovi bila uislamu usingekuwa mnatahiriwa kama wazungu
sasa unauosha vizuri uwe msafi kwa matumizi gani maalim??Nyie mambwa mmeiga kuvaa masuti kutoka kwa mungu wa italy
Kuvaa vipensi kanisani
Kulewa kanisani
Hamtawazi vizuri mkokojoa hasa wanawake papa zao ninanuka kama mzoga
Uzungu mwingi kama yesu alikuwa mzungu
Angalia viongozi wenu wanavaa kama kanzu na wal masister wanajistiri mpaka vichwa ila nyie mambwa sijui makondoo mnavyotwa hamjielewi dini ya uislamu 90% inaendana na. Tamaduni za kiafrika
Hata magovi bila uislamu usingekuwa mnatahiriwa kama wazungu
sasa akizikwa kama wewe ndio hao 70% watahamia ghorofani!!!!Mbwembwe nyingi wakati 70% ya raia wanaishi katika nyumba za tope.
Aisee mwenyewe nilishtuka nikashangaa mbona imekuwa ghafla hivyo kumbe ni Wabongo wanammaliza akiwa hai..........Oman wana Sultan
Na alikuwa anaitwa Qaboos wa Oman sio Kuwait
King Salman pia wa Saudia hajafa bado
Mbona unanichanganya hivi au makusudi [emoji23][emoji23]
Aisee mwenyewe nilishtuka nikashangaa mbona imekuwa ghafla hivyo kumbe ni Wabongo wanammaliza akiwa hai..........