Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Rejea mfalme Quubus wa Kuwait na yule mfalme wa Saudi Arabia, baba yake Mudi bin Suleiman.
Mapema tu hawakufika hata masaa 12 wakawa washazikwa
Oman wana Sultan
Na alikuwa anaitwa Qaboos wa Oman sio Kuwait
King Salman pia wa Saudia hajafa bado
Mbona unanichanganya hivi au makusudi [emoji23][emoji23]