Mazishi ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu kuleta utata baada ya serikali kusitisha maombolezo

Shida inayotusumbua sana hasa sisi waafrika ni kiburi hasa tunapokuwa kwenye nafasi nzuri kimaisha tofauti na waliyo wengi, hatujui kwamba ya kesho ni siri pekee ya aliyetuumba.

Huyo marehemu Lungu alipokuwa rais alimnyanyasa sana huyo bwana Hichilema kipindi akiwa upinzani na kumfunga kabisa jela ambapo ni bwana jela tu ndiye alizuia asinyanyaswe gerezani.

Lakini Mungu sio athumani kibau kikageuka aliyekuwa gerezani akaenda zake ikulu na aliyekua ikulu akaenda kijiweni na matokeo yake wa kijiweni stress zikazidi na matokeo yake mauti yakamkuta.

Ni hayahaya Samia anayomfanyia Lissu leo lakini watu hatujifunzi hata kidogo kwani tunafikiri tutabaki juu siku zote.

No Situation Is Permanent.
 
Lungu aliacha wosia kwamba, akifa serikali isihusike na Hichelema asihudhurie kwenye mazishi kwa sababu serikali ilikuwa ikimzuia kwenda nje ya nchi kupata matibabu, kwahiyo Lungu aliona Hichelema amehusika kumuua isivyo moja kwa moja
 
Ya kesho ni ya manaani.
 
Lungu alikuwa mjinga flani ni wosia kama unamchongea raisi aliyepo kwa wananchi kwani mazishi ya raisi aliyemaliza mda wake si yapo kikatiba ,Hichelema hata angekausha tu toka watu wangelalamika tena serikali haitaki kushiriki.
 
Nimeona taarifa ya familia wameamua azikwe Afrika kusini na wamekubaliana na mamlaka za Africa kusini, Hichelema awaache tu wafanye wanayotaka
 
Katiba ya Zambia imeonyesha upungufu mkubwa kwenye hili suala. Msiba wa rais mstaafu ni kama wa mwananchi mwingine ndo maana familia imeivimbia serikali na kuamua kumzika Lungu South Afrika
 
Lungu alikuwa mjinga flani ni wosia kama unamchongea raisi aliyepo kwa wananchi kwani mazishi ya raisi aliyemaliza mda wake si yapo kikatiba ,Hichelema hata angekausha tu toka watu wangelalamika tena serikali haitaki kushiriki.
Lungu alifanya kosa kubwa kurudi kwenye siasa ili arudi kwenye urais 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…