Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

Maziwa gani yanakukosha kati ya haya?

Hizi ni mada za wanawake wenye watoto, mi nikafikiri maziwa ya kweli.
 
Ebu punguzeni maskhara kwenye mambo ya msingi...☹️
Najua nimeeleweka..😕
 
ila jaman speed nloingia nayo bwan,, nkajua maziwa yan manyonyo 😂😂😂🙌🏾 kwaio nione kubwa na dogo
 
Yote ni low quality USA Netherlands na Russia huwezi kuta hizo takataka za kiarabu.
 
Unafananishaje Almudhish na Lato?...ila najiulizaga Almudhish inatoka Falme za Kiarabu wakati huko hamna ng'ombe,ila ndio matamuu balaa,wakati Lato yanatoka Uganda kwenye Ng'ombe ila sio matamu kivilee
 
Aah sitoki hivihivi title yako ndo imenletea shida, mie napenda maziwa yale chuchuchuu saa 6
 
Back
Top Bottom