Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama ni kuzimu,
Kule mshana na wafuasi wake wanatarajiwa kwenda baada ya safari yao hapa duniani!?!
Sawa Mkuu lifatilie.Mkuu kama unalifahamu vizuri tujuze
Ila kesho nitalifuatilia
sababu zitakua hizo hizo tu kama za lakes nyingine6/Dusty Rose Lake
View attachment 820665View attachment 820667![]()
Linapatikana nchini Canada
Ziwa hili lina kina cha futi ksti ya 1 hadi 3
Halina maji chumvi wala mwani(algae) kipindi chote
Hadi sasa hakuna ajuaye sababu ya maji kuwa ya waridi
Kila mwaka watalii hufurika huko kujionea maajabu
Ni ziwa ambalo liko mpakani na kenyaMkuu kama unalifahamu vizuri tujuze
Umeekezea vizuri mkuuNi ziwa ambalo liko mpakani na kenya
Pia karibu na mlima Oldonyo lengai
Ziwa hilo lina magadi sana na ziwa kubwa
Ina alkaline nyingi na ni sehemu ambayo Flamingo zaidi ya 2.5m hukutana hapo
Ila cha ajabu kingine ni ndege wengine wanakufa vifo vya ajabu sana ambapo wanakuwa kama Ghostly figure
View attachment 820946View attachment 820947
Hahahaha7/Masazir Lake
View attachment 820641Ziwa hili lina kina cha mita 1 tu yaani hata Le Mutuz anaweza kuogelea bila wasiwasi![]()
Linapatikana huko nchini Azerbaijan
Sababu kuu ni uwepo wa chumvi kupita kiasi pamoja na madini ya sulphur
Shughuli kuu inayofanyika ni uchimbaji wa chumvi
Dunia ina maajabu sana hiiSpectacular walahi
Very strange indeedUmeekezea vizuri mkuu
Kuhusu wanyama kufa na kuksuka nimewahi kusikia ns pia kuhusu kuwa na magadi ila sikuwahi kujua kama maji yake huwa ns rangi ya pink
Mkuu Ziwa hili ni la kipekeeVery strange indeed
Ni ziwa lenye chumvi sana
Ajabu ni hao Flamingo wanaishi na kuzaliana hapo
Halafu kingine ni kuwa manyoa yamebadilika kuwa rangi hiyo kwa sababu ya hali ya hilo ziwa
View attachment 820966