Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nimeisoma baada ya kuniambiaMkuu Ziwa hili ni la kipekee
Ziwa lingine linaloshangaza wengi ni Ziwa Ngozi
Hivi wanavua kweli hapo Ngozi maana naona pametulia sana na panatisha
Nimesoma sehemu comments za wazungu waliofika hapo wanasifia sana ila wengi wanasema angalia muda wa kwenda na hali ya hewa.
Wanapenda joto wakiwa holidays sasa inaonekana ni baridi sana hapo ingawa wakati mwingine panakuwa joto kidogo
Asante mkuu nimeliona (kwa picha)