Maziwa kumi maarufu duniani yenye maji ya rangi ya waridi{Pink lakes)

1/Lake Hillier

Hili ziwa dogo pia lipo nchini Australia likiwa na upana wa mita 250
Lipo karibu ksbisa ya bahari hivyo lina maji chumvi
Rangi ya maji yake ni ya kudumu hata yakichotwa na kuhifadhiwa bado hubakia vilevile
Wanasayansi hadi leo wanaangahika kudadisi chanzo cha hali hii
.
.
.
.
.
Mwisho
The Bitoz
........................
 
Ongeza na Ziwa letu basi na maajabu yake
Lake Natron
 
Last edited:
Vijito vya hivi nshaona Mbeya ambapo huwa ni kama maji yana kutu
 
sababu zitakua hizo hizo tu kama za lakes nyingine
Inawezekana ikawa hivyo
Ila Wansasayansi kama bsdo hawana uhakika na kitu husema tu hawajui na wanaendelea kuchunguza
 
Mkuu kama unalifahamu vizuri tujuze
Ni ziwa ambalo liko mpakani na kenya
Pia karibu na mlima Oldonyo lengai
Ziwa hilo lina magadi sana na ziwa kubwa
Ina alkaline nyingi na ni sehemu ambayo Flamingo zaidi ya 2.5m hukutana hapo

Ila cha ajabu kingine ni ndege wengine wanakufa vifo vya ajabu sana ambapo wanakuwa kama Ghostly figure
 
Umeekezea vizuri mkuu
Kuhusu wanyama kufa na kuksuka nimewahi kusikia ns pia kuhusu kuwa na magadi ila sikuwahi kujua kama maji yake huwa ns rangi ya pink
 
Hahahaha
 
Aisee. Ila Australia mbona imejaaliwa maajabu haya
 
Umeekezea vizuri mkuu
Kuhusu wanyama kufa na kuksuka nimewahi kusikia ns pia kuhusu kuwa na magadi ila sikuwahi kujua kama maji yake huwa ns rangi ya pink
Very strange indeed
Ni ziwa lenye chumvi sana
Ajabu ni hao Flamingo wanaishi na kuzaliana hapo
Halafu kingine ni kuwa manyoa yamebadilika kuwa rangi hiyo kwa sababu ya hali ya hilo ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…