Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nimeisoma baada ya kuniambiaMkuu Ziwa hili ni la kipekee
Ziwa lingine linaloshangaza wengi ni Ziwa Ngozi
Ziwa Ngozi lipo kilimani tofauti na maziwa mengi ambayo upatikana usawa wa chiniNimeisoma baada ya kuniambia
Hivi wanavua kweli hapo Ngozi maana naona pametulia sana na panatisha
Nimesoma sehemu comments za wazungu waliofika hapo wanasifia sana ila wengi wanasema angalia muda wa kwenda na hali ya hewa.
Wanapenda joto wakiwa holidays sasa inaonekana ni baridi sana hapo ingawa wakati mwingine panakuwa joto kidogo
Asante mkuu nimeliona (kwa picha)
Sawa mkuu,sijaona Ziwa Eyasi.
Hahaa, samaki wanakufa kwa uzee!!.View attachment 825844View attachment 825845Mkuu Ziwa Eyasi pia zamani lilifahamika kama Ziwa Njarasa linaoatikana karibu na Hifadhi ya Taifa ya Serrngeti kasakazini mwa Tanzania
Ni ziwa la majo chumvi....maajabu gake ni kwamba lonasadikiwa nfiyo ziwa lenye upepo mkali pengine kuliko maziwa yote Tanzania
Upepo mksli huvuma muda wote yaani masaa 24 hivyo kufanya uvuvi kwenye Ziwa Eyasi kuwa mbinde kufanyika hivyo kupelekea hata wavuvi wabobezi kutoka maziwa mskubwa kama Nyasa na Victoria kukimbilia ziwa jirai la Manyara na hivyo samaki wengi hufa jwa uzee