Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?
Ujana Ni Maji Ya MotoAisee!
Ke sometimes mnamawazo ya ajabu sana! Mnapenda ujana na kupata kibarua kizito cha kufight against nature! Jambo ambalo haliwezekani!
Ukiwa na mtoto ukubali kuwa mama! Na huo utoto umuachie huyo uliemzaa!
Nina dawa babycute.ni pm .mtoto bado ananyonya? Dawa sio ya kumeza ni ya kuingizia.
Ujana Ni Maji Ya Moto
Aisee!
Ke sometimes mnamawazo ya ajabu sana! Mnapenda ujana na kupata kibarua kizito cha kufight against nature! Jambo ambalo haliwezekani
Ukiwa na mtoto ukubali kuwa mama! Na huo utoto umuachie huyo uliemzaa!