Maziwa kurudia hali yake baada ya kunyonyesha inawezekana?

Maziwa kurudia hali yake baada ya kunyonyesha inawezekana?

Jmn@babycute mbn unaangaika hv lzm ukubaliane na hali halisi coz umeshazaa,lamsingi tafuta sidiria inayoweza kukufit vzr na maziwa yako yakawa sa6 tn.
 
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?

Aisee!
Ke sometimes mnamawazo ya ajabu sana! Mnapenda ujana na kupata kibarua kizito cha kufight against nature! Jambo ambalo haliwezekani!

Ukiwa na mtoto ukubali kuwa mama! Na huo utoto umuachie huyo uliemzaa!
 
Ujana Ni Maji Ya Moto
 
Aisee!
Ke sometimes mnamawazo ya ajabu sana! Mnapenda ujana na kupata kibarua kizito cha kufight against nature! Jambo ambalo haliwezekani

Ukiwa na mtoto ukubali kuwa mama! Na huo utoto umuachie huyo uliemzaa!

Mkuu umeongea point,ningekupa like ila shida natumia simu.
 
Back
Top Bottom