Maziwa mtindi yananenepesha au yanakondesha

Maziwa mtindi yananenepesha au yanakondesha

Yani unywe maziwa ukonde?
Kwanza sidhani kama kuna chakula kinakondesha ila kuna vyakula ukimiss unaeza usinawili sawasawa.
 
Niliwahi tu kusikia eti mwanamke anayetumia mtindi kwa wingi kule kwa bibi kunakuwa perfect, when I say perfect I mean perfect..sasa sijajua manake no research no right to speak🤣
 
Maziwa ya mtindi huwa Yana nenepesha mno,
Ukitaka kupunguza uzito wa mwili wako tumia bangi kuvuta.
 
Niliwahi tu kusikia eti mwanamke anayetumia mtindi kwa wingi kule kwa bibi kunakuwa perfect, when I say perfect I mean perfect..sasa sijajua manake no research no right to speak🤣
Yanasaidia Kwa Sisi wanawake Ni moja ya faida zake
unataka uwe kibonge ili ujambejambe hovyo?😕😕
😂😂😂😂Hapana nataka afya iimarike
 
Pamoja na hilo lakini bado Wazee tupo vizuri kuliko Vijana 😜
Hapo unapooanza kujisifia huwa nakushusha vyeo mkuu....

Wee ni mzee wa hovyo kumbe,, tofauti na wale mafaza wa kufakamia 2k, wewe una tetea mambo ya ajabu sana
 
Maziwa mtindi hayanenepeshi tena yanapunguza uzito
 
Back
Top Bottom