Maziwa ni sumu mwilini

Mhm[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Ushawahi pata food poisoning wewe, hungemwambia hivyo. Chemsheni maziwa baada ya kuyakamua, period. Mengine ni kujitakia!

Sijakubishia ulichokiandika, nimeeleza kilichokua kinatokea na ndio niko hapa nachangia uzi. Hapo tunaongelea ng'ombe wa kijijini anakula nyasi, hachomi sindano, kikubwa akibahatika sana anaogeshwa dawa kwenye josho.

Watu wameishi maisha yote hadi wamezeeka kwa kutumia maziwa yasiyochemshwa.

Kwanza heading ya thread imekaa kishari sana, huwezi kuandika maziwa ni sumu.

Food poison sio tu ipo kwenye maziwa, chakula chochote usipokihifadhi au kukitayarisha katika mazingira rafiki na salama utaipata tu. Usiyasingizie maziwa.
 
Umeruka ruka sana Mkuu, ungesema tu maziwa ambayo hayajaandaliwa vizuri ni hatari na chanzo cha magonjwa hatari, tungekuelewa.

Ila kuna kweli kuna ugonjwa (nimeusahau jina) unatokana na kunywa maziwa mabichi, aisee utakonda mgonjwa wa ngoma/utapia mlo cha mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…