Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.
Eeeehhhh!!!!!!!ndiyo halali, tena bado na Azam lager,...
Leo nimeona sabuni za azam
hayo maziwa sidhani kama ni halisi, wana shamba wapi? mlishawahi kuona wafugaji wanapeleka maziwa pale?! maziwa yapo mengi sana Tanzania asee, siwezi kununua hayo mapoda.
ni kweli, hayafai. bidhhaa zote za bakhressa hovyo tu. ukubali ukatae, usimame ukae.
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa fresh.
Yamewekwa Halua Halua Mkuu.
Kutokuona wafugaji wanapeleka maziwa Azam haimaanishi kuwa maziwa si halisi! Kama hujawahi kuona wachezaji wa azam wakilipwa mishahara, haimaanishi wale wachezaji hawalipwi mishahara!
ooops! huo ulinganifu wako tu unaonesha ukingo wako wa kufikiri ulipo. kama una facts za kuhakikishia watanzania kwamba hayo ni maziwa halisi weka hapa, siyo kuleta habari za mpira kwenye kila jambo!
hayo maziwa sidhani kama ni halisi, wana shamba wapi? mlishawahi kuona wafugaji wanapeleka maziwa pale?! maziwa yapo mengi sana Tanzania asee, siwezi kununua hayo mapoda.
Azam TV, Juis, Malt, Soda, Maziwa, Timu ya mpira, Chapati kwa muda mfupi hv inanipa shaka kama kweli alifanya utafiti wa soko na satisfaction za wateja.Soon utasikia LOW COST AZAM AIRLINE (Dar - Zanzibar)
hayo maziwa sidhani kama ni halisi, wana shamba wapi? mlishawahi kuona wafugaji wanapeleka maziwa pale?! maziwa yapo mengi sana Tanzania asee, siwezi kununua hayo mapoda.[/QUOT
Ndugu kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kiwanda cha Bakhressa cha kuzalisha haya maziwa kipo kisiwani Unguja,kuhusu kama anafuga ng'ombe wa maziwa huko au ananunua maziwa kwa wakulima hilo sifahamu!
Wivu utawauwa wa tz.ila mtamkubali tu tatizo anaitwa salim na sio john
du!kila kona...hivi na ndomu za azam zipo?Leo nimeona sabuni za azam
Mkuu kila kitu kina ukomo, kwani wewe huna ukomo wa kufikiri? ukomo wako wa kufikiri si ndio uliokutuma useme kama hamna alieona wafugaji wakipeleka maziwa azam, basi maziwa hayo si halisi! yaani kabisa, kama kitu hujakiona basi hakipo! kama na wewe unafikiria hivo, basi ni tatizo kubwa sana mkuu!