idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,416
vipi zile zingine, kuna za Mo, kuna Azm Tv, na yenyewe imo?
'mo' sio azam, ni metl(mohammed dewji).zote mulemule. soko lao ni watu maskini na ndo maana bidhaa zao hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi zile zingine, kuna za Mo, kuna Azm Tv, na yenyewe imo?
Kuna baadhi ya wa2 hawampendi mtu kwa sababu ya dini yake 2.wakati ni mkombozi wetu wa tz na tunajigamba kwa mataifa mengine sababu yakeMmhhh huo ni uchochezi wa udini sasa!,wacha hiyo mambo mkuu
du!kila kona...hivi na ndomu za azam zipo?
hahaha! nahofia ngozi za watanzania maskini ambao ndio soko la azam.
hakuna kitu ambacho mwanadamu anatakiwa kuwa nacho makini kama chakula, lakini cha ajabu ni kwamba watanzania wengi tunaangalia bei na wingi{ujazo} huku tukisahau contents za iyo bidhaa, kwa mfano ile azam mango juice ni tamu hadi unadoubt kama kweli wametumia matunda halisi hata kidogo, na kuhusu maziwa yananalalamikiwa sana, yanasifiwa packaging tu. Natumai TFDA na tbs wanafanya kazi zaoAzam ajikite kwenye bidhaa ambazo si chakula maana kwa vyakula anaua watanzania taratibu na sumu kwenye vinywaji vyake hasa ile MALTA & AZAM COLA. Nafikiri ajikite kuanzisha treni ya mizigo au simenti na mabati HALAL. Ha ha ha.
Kama umepanic hivi! Mdau alikuwa na point, so kama unafahamu otherwise justify kwa hoja or evidence. Ndo kuelimishana hiviKutokuona wafugaji wanapeleka maziwa Azam haimaanishi kuwa maziwa si halisi! Kama hujawahi kuona wachezaji wa azam wakilipwa mishahara, haimaanishi wale wachezaji hawalipwi mishahara!
ooops! huo ulinganifu wako tu unaonesha ukingo wako wa kufikiri ulipo. kama una facts za kuhakikishia watanzania kwamba hayo ni maziwa halisi weka hapa, siyo kuleta habari za mpira kwenye kila jambo!
Azam amepanuka kwa haraka kiasi kwamba baadhi ya products zake hazina kiwango (eg. Juis & Malta) wamezidisha sukari balaaa
Kama chapati zipo Mkuu hatutashangaa kuona hiyo kitu! Ma-mama ya mjini kwa uvivu bwana, mpaka yanatia huruma!!huku tunapoenda utaskia wali maharage kwenye pakti ya azam!
kuna mdau mmoja alichambua ingredient moja ya hayo maziwa, alisuggest kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwa chanzo chake si halal!