Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.
Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua.
Nimerudi maziwa yameacha kabisa, roho inaniuma sana mwanangu bado mdogo nifanye nini ili yaweze kutoka tena?
Asanteni sana.