Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

Mrejesho, ja baada ya kuchukua hatua zote maziwa yalirudi? Nirudie kwa majibu tafadhali
Yalirudi nikasafiri tena nilikaa kama week mbili sikukamua nikaogopa kumnyonyesha so nimemuachisha
 
Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.

Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua.

Nimerudi maziwa yameacha kabisa, roho inaniuma sana mwanangu bado mdogo nifanye nini ili yaweze kutoka tena?

Asanteni sana.
Kunywa ujii wapilipili mangaaana upunfuze jigyjigy mpaka yakikaa sawa
 
Mnyonyeshe kila siku hata kama hayatoki baadaye yatarejea. Kukosekana muda mfupi usizuie faida ya kuendelea kwenye safari ya siku 1000 muhimu za afya lishe ya mtoto.
 
Back
Top Bottom