pole sana, siku saba ni nyingi kukaa bila kunyonyesha maziwa lazima yakate. Huko nje ya nchi ilitakiwa utafute mbaba ayanyonye hapo ungerudi na maziwa ya kutosha.Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.
Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua.
Nimerudi maziwa yameacha kabisa, roho inaniuma sana mwanangu bado mdogo nifanye nini ili yaweze kutoka tena?
Asanteni sana.
Pilipili manga muhimu sanaHabari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.
Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua.
Nimerudi maziwa yameacha kabisa, roho inaniuma sana mwanangu bado mdogo nifanye nini ili yaweze kutoka tena?
Asanteni sana.
Hahaha wew mpuuzi sana.Ulivosema "Maziwa ya mama" nikashtuka
Hapana sikutumia Mkuu sijanywa dawa yoyote.Anza kula kwa wakati hili tatizo alipataga mke wangu alianza kula kwa wakati na aka Kaa sawa usikae mda mrefu mpaka usikie njaa we kula tu mapema sana
Punguza na mawazo uko nje ya nchi uliwahi kutumia vidonge vya uzazi wa mpango?
Pole sana ndugu yangu fata ushauri wa Midekoo hapo post no 5 yasipotoka tena nenda kituo cha afyaHapana sikutumia Mkuu sijanywa dawa yoyote.
Shukrani ingawa toka nimefika nakula mpk navimbiwa ila hayatoki najikuta naumia sana natamani hadi kulia.
Asante sana kwa ushauri wako mzuriPole kwa hii changamoto, what i can advise you is rest, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha, endelea kumuweka mtoto kwenye titi/nyonyo mara kwa mara inasaidia sana kustimulate maziwa yatoke,
it may take a while but yanaweza kuanza kutoka tena
Hopefully this will help
Kila kitu now ni cha mamaMkuu usitake nifungwe๐๐๐๐
Mrejesho, ja baada ya kuchukua hatua zote maziwa yalirudi? Nirudie kwa majibu tafadhaliHabari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.