Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

Kuna bonge la demu nilikuwa nalielewa kinyama .Siku moja niko nalo sehemu limetinga vesti ,kuliscan vizuri yaani kwenye matiti ni flat bin malapa.Mizuka yote imekata ,hata aje amepiga misamba vipi dudu halistuki.Labda akayaboost kama inawezekana au ajaribu Mloganzila.Matiti yamenyauka na kusinyaa hapana kwa kweli.
DU
 
Maziwa (milk) hayana uhai so hayawezu kufanya chochote. Ila yanweza kufanyiwa chochote kama kuchemshwa, kugandishwa, kunywewa n.k

Sasa hayo maziwa yanayoweza kupata usingizi na kulala sijui ni maziwa gani.

Au maziwa kama Tanganyika, Natron na Eyasi?
Yatakuwa maziwa mgando au kule Kenya wanayaita maziwa "lala".Hata ukiset alarm clock hayaamki?
 
Maziwa yakiwa yamelala mwanamke akiruka yanagonga Cheers na kitovu🤣
 
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana

money penny: sa unataka nifanyaje jaman

client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje

money penny: una hela?

client wa instagram: ya nini

money penny: ya kusimamisha maziwa?

client wa instagram: mh! Tsh ngapi?

Money penny: bei inatofautiana na nchi, kuna south africa, kenya, dubai, india, we chagua tu umpeleke asimamishe

client wa instagram: ah, me nataka ambae maziwa hayajalala, ina maana huyu katumika sana

money penny: kwakweli sijui kuhusu hilo boss, skuhizi dunia imeenda sana

je ni kweli msichana maziwa yakiwa yamelala sana anakuwa ametumika sana kwa wanaume au? mbona kuna waliosimamisha maziwa wametumika kuliko!


kwani nyie wanaume mko na shida ghan?
Anunue hamira aweke chini ya matiti alele kukikucha anakuta yameumuka na kuwa saa 9 mchana
 
Back
Top Bottom