Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

DU
 
Yatakuwa maziwa mgando au kule Kenya wanayaita maziwa "lala".Hata ukiset alarm clock hayaamki?
 
Maziwa yakiwa yamelala mwanamke akiruka yanagonga Cheers na kitovu🤣
 
Anunue hamira aweke chini ya matiti alele kukikucha anakuta yameumuka na kuwa saa 9 mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…