NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Ahsante HornetMzee wangu nilikua naona ana wanae mchanganyiko wa pumba asubuhi na jioni
Mashudu,kuna moja laini mno,ya mahindi na makliki(sijui jina jingine)
Maziwa yalikuwa ni super siagi!
Kwa Dar sijawahi kunywa maziwa kama yale