NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Ninafuga ng'ombe wa kisasa.Kipindi hiki cha mvua wanakula majani mabichi na machanga maana yako kwa wingi.Nimegundua maziwa wanatoa ni bora lakini sio mazito kama wakati ule wa kiangazi.Wazoefu wameniambia ni vile wanakula majani mabichi.Naomba ushauri niwape nini watoe maziwa mazito kipindi hiki kipite
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app