MAZIWA YA NG'OMBE MEPESI

MAZIWA YA NG'OMBE MEPESI

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Ninafuga ng'ombe wa kisasa.Kipindi hiki cha mvua wanakula majani mabichi na machanga maana yako kwa wingi.Nimegundua maziwa wanatoa ni bora lakini sio mazito kama wakati ule wa kiangazi.Wazoefu wameniambia ni vile wanakula majani mabichi.Naomba ushauri niwape nini watoe maziwa mazito kipindi hiki kipite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu nilikua naona ana wanae mchanganyiko wa pumba asubuhi na jioni

Mashudu,kuna moja laini mno,ya mahindi na makliki(sijui jina jingine)

Maziwa yalikuwa ni super siagi!

Kwa Dar sijawahi kunywa maziwa kama yale
 
mzee memo,Ngombe wako unawapa chakula gani cha ziada?majani ni asilimia 70 tuu kwa ngombe wa maziwa,pia baada ya kuyakata yaache yanyauke kama siku tatu hivi
 
Back
Top Bottom