Kwa ninavyofahamu mtoto mdogo hawezi ku digest maziwa ya ng'ombe, ni Either uyachujue sana na Maji ama usimpe, watoto wengi wanaharisha na kupata matatizo sababu ya maziwa ya Ng'ombe, anaweza pia kupata matatizo ya Figo.
So kwa mwaka mmoja maziwa ya mama ama formula ni bora zaidi, issue kibongo bongo kuwa makini sana na hizi formula, sio zote ni OG hukawii kuuziwa feki.
Akifika miaka kuanzia mwaka 1-2 hapa anaanza ku digest hayo ya ng'ombe ila still mengine mazito mchanganyie na Maji, kuanzia miaka 2 ya Ng'ombe sawa.
Kuhusu virutubisho Formula yana virutubisho zaidi, mfano Maziwa ya Ng'ombe hayana Vitamin C, mtoto anaihitaji hio, kwenye formula ipo.