Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kasema 1-3Mtoto wa miaka 3 naye ananyonyeshwa? Soma uzi vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema 1-3Mtoto wa miaka 3 naye ananyonyeshwa? Soma uzi vizuri.
Ngoja ninyamazeYanatosha, achana na maneno ya hawa masista duu wasiotaka kunyonyesha
Kuanzia miezi 6 mtoto maziwa ya mama hayamtoshi, yanakua tu kama snack, bila kupata kitu chengine atakua dhaifu analia Lia muda wote tu. Hapo ndio unaona mtutu anapewa uji, Maziwa ya Ng'ombe, cereal na vitu vingine.Kasema 1-3
Mkuu hawa watoto wa 2000 wanakuona wanajua na wameona kila kitu duniani. Wala usimuelimishe.Kuanzia miezi 6 mtoto maziwa ya mama hayamtoshi, yanakua tu kama snack, bila kupata kitu chengine atakua dhaifu analia Lia muda wote tu. Hapo ndio unaona mtutu anapewa uji, Maziwa ya Ng'ombe, cereal na vitu vingine.
Maziwa yote hayo hayafai maziwa bora ni ya mama mtoto amnyonyeshe maziwa yake. Maziwa yaliobakia hayafai kabisa kwa afya ya mtoto.Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
Asante Sana dear.mambo yanachanganya Sana haya
Tueleze ni namna Gani maziwa ya ngombe yanaweza sababisha matatizo ya Figo?kupata matatizo sababu ya maziwa ya Ng'ombe, anaweza pia kupata matatizo ya Figo.
anzia mwaka.hadi mitatu utamnyonyesha mtoto muda wote mkuu.?Maziwa yote hayo hayafai maziwa bora ni ya mama mtoto amnyonyeshe maziwa yake. Maziwa yaliobakia hayafai kabisa kwa afya ya mtoto.